fuso tipper ya mchanga naamka saa 10 alfajil naandesha kutwa nzima had nimalize trip zangu 4 saa 1 usiku, napumzika kama dk20 tu pale nikiwa nakula.Unaendesha gari la aina gani??
Unaendesha kwenye barabara gani?
Unaendesha umbali wa kilometers ngapi kabla hauja pumzika?
Sent using Jamii Forums mobile app
ahsante sana kiongozi kwa ushauri ntaenda hosptalIPole sana ndg kwa sababu unachekesha kweli kweli. Ati unaumwa halafu badala ya kwenda hosp unaenda pharmacy. Ulipofika ukamwambia; Nipe vidonge vya rangi mbili. Ukapewa ukameza kwa ajili ya kiuno kinauma!!!! Maajabu gani haya?? Leo karne hii hakuna tena watu wa jinsi yako ndg. Nenda hospitali, eleza hoja zako, upatiwe vipimo na matibabu sahihi...
ndio mkuu sina mke siwezi pitisha siku 3 sijafanya hvyoWw ni member wa CHAPUTA?? Kama jibu ndio bas jua hicho ndo chanzo
Jaribu kupunguza mkuu afuu uangalie kama itakuwa na faidaa.
sawa mkuu ntalifanyia kaz hiloJaribu kupunguza mkuu afuu uangalie kama itakuwa na faidaa.
kwa jins tatazo lilivyoanza mkuu sikuvhukulia serious had kwenda hsptalKwa huo umri mkuu umetuangusha sana... kwenda pharmacy badala ya hospital..!! Duh
Bas hicho ndo chanzo mkuu
Pole Sana Kwa Changamoto yako ya viungo na Mifupa.Habari zenu watabibu,
Nina miaka 27 sasa, mimi ni dereva wa gari. Nahisi ndiyo tatizo langu lilipoanzia, seat ya hili gari inagonga sana ukijumlisha na njia ninayoendeshea. Twende kwenye maada sasa..