Kiungo Gani Cha Mwili??!!!

Kiungo Gani Cha Mwili??!!!

Eng. Smasher

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2010
Posts
745
Reaction score
23
Padre kawauliza waumini:
PADRE: Ni kiungo gani cha mwili hupatikana katika sehemu iliyojificha na kina wingi wa unyevunyevu kinaweza kufanya ndoa iwe IMARA sana au KUYUMBA?

WAUMINI: Kimya huku wameinamisha vichwa vyao chini.

PADRE:Inukeni niwaonyeshe,ni hiki akagusa "ULIMI", Mlifikiri ni nini??!!

NA WEWE JE?? HEBU NAMBIENI MLIFIKIRI NI NINI??!!
 
Labda tungejiuliza ndoa nini halafu baadae tuje kwenye viungo gani kwenye mwili vinafanya iwe ndoa!! iwe ndoa then tuangalie kipi kipo kwenye unyevunyevu...
 
Back
Top Bottom