Kiumbe kipya chagunduliwa Tanzania! "grey-faced elephant-shrews (Rhynchocyon udzungwensis)"

Fundi Mchundo

Platinum Member
Nov 9, 2007
8,943
6,863
Last Updated: Friday, 1 February 2008, 00:38 GMT

E-mail this to a friend Printable version


Nimeiweka hapa ili kuwakumbushia jinsi tulivyobarikiwa lakini kwa sababu ya ulafi wetu tunaendelea kuangamiza neema hii.Akija kesho mwekezaji akasema anataka kujenga kiwanda kwenye milima hii nawakikishia kuwa hatutasita kumkabidhi. Leo Lesser Flamingoes kesho Rhynochocyon udzungwensis!
 

..fundi,tunaomba picha tafadhali,kama zipo!
 
..nadhani ndio huyu.

[media]http://msnbcmedia2.msn.com/j/msnbc/Components/Photo_StoryLevel/080201/080201-elephantshrew-hmed-930a.hmedium.jpg[/media]
 

Hiyo habari mbona ilishatoka humu kwenye JF, au hucheki vizuri sehemu zingine za jF fata hii link: http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=9388
 
Nakiri sikuisoma thread ya Zomba. Naona kuna nyingine tena imeanzishwa. Naamini Mods. watasahihisha makosa haya na kuziunganisha. Ningependekeza ibaki kwenye jukwaa hili maana ni suala lenye umuhimu mkubwa katika uhai wetu kama taifa.
 
inasikitisha kuona wagunduzi ni watu weupe... labda wataalam wetu ujuzi wao ni siasa tu...
 
inasikitisha kuona wagunduzi ni watu weupe... labda wataalam wetu ujuzi wao ni siasa tu...
wasomi wetu wa degree za kukariri ni mzigo haswaa; ukiachana na ufundi wa kupika majungu walio nao; kwa miaka kadhaa sasa wameshindwa hata kuimprove Staili ya kupika ugali.
 
inasikitisha kuona wagunduzi ni watu weupe... labda wataalam wetu ujuzi wao ni siasa tu...
Mkuu huyo kiumbe namjua tena wapo kibao wanafanana na panya tofauti yao labda huyo ni mkubwa kama sungura au paka.

Kuna maeneo fulani hapa TZ wanawaita kinete.
 
Na mm nmeona kono kono wa aina ambayo sijawah ona.... sema nashindwa kuweka vdeo hapa.
 
Wa Tz wenyewe ni viumbe wa ajabu.
 
....
....Great work!!!!

Msalimie Mhifadhi Mkuu niko Mahale Tongwe West napasuwa Milima
 
mbona hako kadudu kapo sana tu huku kwetu mbarali japo sikafahamu jina
 
ikifikia wapo ktk hatari ya kutoweka duniani cdhani kama nchi yangu itakuwa na bajeti kupambana na hilo...

maana wangekuwa dili kama meno ya tembo wangebaki historia tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…