Kiumbe kipya chagunduliwa Tanzania! "grey-faced elephant-shrews (Rhynchocyon udzungwensis)"

Mwenyewe nimegundua kiumbe wa ajabu Tz. Ni kiumbe ambaye akidanganywa na watawala anashangilia na kukenua meno yake. Huyu kiumbe anaamini kwamb tz chini ya mfalme itapiga hatua kubwa sana. Bdo sijafikilia nimpe jina gani.
 
Watu wanapenda sana kuonekana wagunduzi!
Hawa panya pori wenye pua ndefu, leo wamekuwa viumbe vipya!
Hao panya ni wengi sana kwenye mikoa ya Tbr na Shy na wanaitwa 'kapuli' kwa maana ya elephantisic shaped.
Sasa kutuletea sifa ya ugunduzi, kama vile kiumbe kinachoongelewa kinakuwa kama ni "spishi" mpya iliyogunduliwa ambayo haijawahi kuonekana mahali pengine popote hapa Tz ni pumba isiyostahili kujadiliwa.
 
Back
Top Bottom