Juzi mume kamuua mke kwa kumchinja na kukinga Damu kwenye ndoo then kaenda bar kunywa pombe,,toa sana offer huku home kachinja mke. Unaambiwa waliachana then mke akamrudia bwana.Ifikie hatua watu wajue X-harudiwi.Pia kuachana si dhambi...kuchokana kupo mtauana nawaambia
Mi niwe mkweli...kitakachonituliza ndani ni mume Mwenye kuwajibika kwa familia yake tu...ila ukishaniachia majukumu for 80% usitegemee kukuheshimu as a man