Mshahara wangu wote unamlea yeye na wanawe....nn kingine nifanye.Ndo maana nasema ukiniachia majukumu 90% usitegemee nikakuona mwanaume.Wajibikeni mkuuile:KABLA YA KUJIULIZA MMEO KAKUFANYIA NINI CHA MAANA TOKA UMEISHI NAE JIULIZE KWANZA WEWE UMEMFANYIA NINI.
Ndiyo concept yangu....siyo uwe unatembeza kende huko then majukumu ya familia uniachie mie...NooNjoo tuwajibike tutengeneze regency yangu na wewe.
Yan sijui kwanini nimecheka 😂😂😂
Inasemekana wanakuwaga wapole enzi za uchumba, ukishamweka ndani ndio unaanza kuona rangi nyingine.
Hata akibeba majukumu yote still nyie ndie mnaonufaika na matunda.Mshahara wangu wote unamlea yeye na wanawe....nn kingine nifanye.Ndo maana nasema ukiniachia majukumu 90% usitegemee nikakuona mwanaume.Wajibikeni mkuu
Rozay I poe that We connected with khaled we back door that.Anaza wani
Hapana mkuu,usiseme ivo.kwani nawe upo ivo kwa wazazi wako?Hata akibeba majukumu yote still nyie ndie mnaonufaika na matunda.
1.Mtoto atalishwa sumu baba alikuwa mlevi,malaya.
2.Mama anakatiwa tiketi ya ndege kuja kuwaona wajukuu baba uachwa upweke nyumbani.
3.Usiombe uwe mzee na hauna kitu mama na watoto uungana hawakumbuki mchango wako.
4.Mama atapewa laki 3 baba atapewa elf 20.
Hawa watoto ni kama tunawatengenezeeni ninyi wanawake mwisho mwema.
Hapana siwezi wabagua wazazi wanguHapana mkuu,usiseme ivo.kwani nawe upo ivo kwa wazazi wako?
Vizuri.Bas na watoto wako watafuata nyayo zakoHapana siwezi wabagua wazazi wangu
Sijui s3ng3 hili jamaaUnamuogopa vipi binadamu mwenzio???
Oooh. Na kheri ikufute popote ulipo ikiwa una mentality hiyo.Ndiyo concept yangu....siyo uwe unatembeza kende huko then majukumu ya familia uniachie mie...Noo
Unakinzana na Mungu au?hakuna mwanaume anaweza kukutimizia hayo yote uliyoorodhesha hapo..na ndo maana kunakuwa na neno uvumilivu due kuna sehm hatofanya kama unavyotaka weweHapana mkuu, huyo ni mwanaume mmoja tuu mwenye malengo yake
Yaani kila baada ya muda anapiga hatua moja mbele inavyozidi kuweka familia yake imara
Unakinzana na Mungu au?hakuna mwanaume anaweza kukutimizia hayo yote uliyoorodhesha hapo..na ndo maana kunakuwa na neno uvumilivu due kuna sehm hatofanya kama unavyotaka wewe
Hata huyo mchepuko wako hatimiz uliyoorodhesha hapo...ni ego tu ndo ndo inayokusumbua kuonyesha superiority kwenye hamnaAcha kujiendekeza basi
Ati hakuna mwanaume anaweza😂😂😂😂
Hata huyo mchepuko wako hatimiz uliyoorodhesha hapo...ni ego tu ndo ndo inayokusumbua kuonyesha superiority kwenye hamna
Sawa singo mamaUkichepuka wewe inatosha maana kuchepuka ndio mwisho wa uwezo wako wa kufikiri
Ttz nn mkuuNimemaliza kugimbana na kishemeji chenu mpango wa kando saiz
Sawa singo mama
fanya uwadanganyie hao watot uliozalishwa wakusaidie matumiz...najua kazi ya kulea ilivyo ngumu.kwa upande wa mzaz.mmojaUtakua unatafuta dume wewe😏😏😏
Nilikoolewa mke kuna njemba bili bado hazijaoa Basi njoo na wewe uolewe mke mwenza🙄🙄
fanya uwadanganyie hao watot uliozalishwa wakusaidie matumiz...najua kazi ya kulea ilivyo ngumu.kwa upande wa mzaz.mmoja