UpendoUnashawiahiwa kwa kitu gani?
Ni mwanamke shujaa anae jitambua na kujielewa ila kwa siku hizi wapo wachache sana wa namna yakeTwende straight kidogo, tuokoe mda.
Kiufupi nimemtongoza mfanyakazi wangu wa hapa dukani ninapouza vifaa vya ujenzi, yeye ndio anashughulikia mahesabu ya mauzo baada ya hapo ananiletea mimi nahakiki tuu, kwahiyo faida nnayoingiza na mauzo yote anayajua.
Huyu hajaolewa,lakini ana bwana.
Kanishangaza sana, week ya pili hii namtongoza ananiwekea ngumu, yani mwanamke una maisha ya kawaida unaanzaje kumkataa mwanaume anayeingiza zaidi ya faida 120,000 kwa siku na ugumu huu wa maisha?? Yani umepanga chumba kimoja wewe na bwana ako halafu unamkataa mtu anayeingiza mshahara wa Mwalimu ndani ya siku 4???! Ama hakika, anahitaji apewe tuzo ya ujasiri na uthubutu.
Labda atalainika, time will tell!! Hakuna mkate mgumu mbele ya tea.
Akiendelea hivi namuwekea kile kiwanja changu cha chanika mezani! Sikubaligi kushindwa, bora nimpe kiwanja akajenge na huyo bwanaake mimi nnachotaka ni tunda tuu kiukweli yupo vizuri sana.
Kumbe mda mwingne wanawake ambao hampendi pesa mpo.
right, ke wasioshawishika na pesa wengi ni waumini wa upendo wa kweli bt bahati mbaya hua hawapati watu sahih wanaangukiaga kwa wakware tu.Sio kila mtu anashawishika kwa pesa
Mie huwezi kunishawishi kwa pesa aseee