Kiukweli mwanamke huyu ni jasiri, ana roho ngumu

Twende straight kidogo, tuokoe mda.

Kiufupi nimemtongoza mfanyakazi wangu wa hapa dukani ninapouza vifaa vya ujenzi, yeye ndio anashughulikia mahesabu ya mauzo baada ya hapo ananiletea mimi nahakiki tuu, kwahiyo faida nnayoingiza na mauzo yote anayajua.

Huyu hajaolewa,lakini ana bwana.

Kanishangaza sana, week ya pili hii namtongoza ananiwekea ngumu, yani mwanamke una maisha ya kawaida unaanzaje kumkataa mwanaume anayeingiza zaidi ya faida 120,000 kwa siku na ugumu huu wa maisha?? Yani umepanga chumba kimoja wewe na bwana ako halafu unamkataa mtu anayeingiza mshahara wa Mwalimu ndani ya siku 4???! Ama hakika, anahitaji apewe tuzo ya ujasiri na uthubutu.

Labda atalainika, time will tell!! Hakuna mkate mgumu mbele ya tea.

Akiendelea hivi namuwekea kile kiwanja changu cha chanika mezani! Sikubaligi kushindwa, bora nimpe kiwanja akajenge na huyo bwanaake mimi nnachotaka ni tunda tuu kiukweli yupo vizuri sana.

Kumbe mda mwingne wanawake ambao hampendi pesa mpo.
Acha upumbavu
 
Acha kumuongezea ugumu kwenye kazi yake mbwa mkubwa wewe.Sasa hapo kwenye duka lako kaja kufanya kazi au kut.ombana?
Miafrika sijui tupoje yaani unachofanya unampa wakati mgumu bila sababu dada wa watu kakunyima ili kulinda heshima yake kazini,na kwa bwana yake sio kila mtu ni mzinzi kama wewe kenge mkubwa yaani umeniudhi sana KMMK walahi.Ndo nyie mkipewa ukuu wa ofisi fulani mnataka muwalale wake zetu wote wanaofanya kazi hapo ofisini na ataegoma ataishi kwa mateso hapo Ofisini.BADILIKA WE MZINZI UTAKUJA KULIWA KICHURI NA WANAUME WENZIO SIKU MOJA KWA KUENDEKEZA ULAFI WAKO WA NGONO.SHITHOLE GUY MKUBWA.
 
Twende straight kidogo, tuokoe mda.

Kiufupi nimemtongoza mfanyakazi wangu wa hapa dukani ninapouza vifaa vya ujenzi, yeye ndio anashughulikia mahesabu ya mauzo baada ya hapo ananiletea mimi nahakiki tuu, kwahiyo faida nnayoingiza na mauzo yote anayajua.

Huyu hajaolewa,lakini ana bwana.

Kanishangaza sana, week ya pili hii namtongoza ananiwekea ngumu, yani mwanamke una maisha ya kawaida unaanzaje kumkataa mwanaume anayeingiza zaidi ya faida 120,000 kwa siku na ugumu huu wa maisha?? Yani umepanga chumba kimoja wewe na bwana ako halafu unamkataa mtu anayeingiza mshahara wa Mwalimu ndani ya siku 4???! Ama hakika, anahitaji apewe tuzo ya ujasiri na uthubutu.

Labda atalainika, time will tell!! Hakuna mkate mgumu mbele ya tea.

Akiendelea hivi namuwekea kile kiwanja changu cha chanika mezani! Sikubaligi kushindwa, bora nimpe kiwanja akajenge na huyo bwanaake mimi nnachotaka ni tunda tuu kiukweli yupo vizuri sana.

Kumbe mda mwingne wanawake ambao hampendi pesa mpo.
Approach yako kwake ni mbaya,ndio masna kakukataa
 
Back
Top Bottom