Tumelamba galasa kwelikweli...Mbowi kauza chama chetu kwa bei poa halafu kibaya zaidi amekula peke yake.Ni shabiki wa kutupwa wa cdm na msimamo wangu uko wazi. Walichokifanya cdm ni kama kuwa vitani halafu unamchukua kamanda wa wapinzani wako na kumpa ujemadari kupambana na huko akikotoka. Kibaya zaidi huyo kamanda mamluki hana uwezo wa kujenga hoja zaidi ya siasa za chini ya meza. Hv viongozi wa cdm hamuoni haya malalamiko yetu kila siku kwamba hapo tumelamba galasa?
Acha kujipendekeza kwa CHADEMASema wewe maana tukisema sisi inaonekana tuna bifu naye. Kwa hakika CHADEMA wamenasa pabaya!
Utawasikiaje CHADEMA wakati mikutano ya hadhara imepigwa marufuku?Mimi binafsi naona kimebaki kuwa chama cha viongozi wanaojilia pesa zao, kwa raha zao bila kujali wananchi au wanachama wao.
Chadema mvuto hakuna kabisa, kama kabla ya uchaguzi.
Hata nani awe humo hasiwepo sasa hivi ni sawa tu, wafuasi wasubiri uongo mwingine washikilie bango wao wale.
Weeeh, hatathubutuUmeandika mengi lakini hukusema ufisadi wake ni nini????..
Tatizo ni uhuru wa kufanya mikutano haipo tenaMm binafsi naamini CDM wangepata wabunge zaidi na kura zaidi ya walizopata hata bila Lowassa, kiufupi Lowassa ndiye aliyefaidika zaidi na UKAWA kuliko UKAWA walivofaidika na Lowassa.
Huwa nikikaa na kuifikiria UKAWA ile kabla ya ujio wa Lowassa dhidi ya CCM vipande vipande, majibu yangu siku zote yanabaki CCM mshukuruni Lowassa na Mbowe!
Japo kwa upande mwingine huwa namuelewa Mbowe, nadhani alihofia Lowassa kwenda ACT kitu ambacho kingeharibu ushindani tuliouona!
Kinachoiangamiza Chadema ni kuwa vigeugeu.Hongera kwa kusema ukweli kijana wangu. Najua utatukanwa lakini,umeongea ukweli mtupu. Kwa sasa wamebaki na hoja moja tu...eti mtu akifa wanasema 'kafa sababu alimsema Lowassa'...ndio hivyo tena toka siasa za hoja hadi siasa za ramli. Kuelekea uchaguzi mkuu 2010 walitangazia umma kuwa chadema haitasimamisha Wagombea kumpinga Sitta,Mwakyembe,Olesendeka kwa jinsi walivyosimamia ufisadi serikalini lakini eti sasa wamekuwa maadui wao...wanasema eti ripoti ya Richmond ilikuwa ni uongo.
mi nadhani kwa uelewa wangu,hata kama asingekuwepo Lowassa,maadamu ccm wameibeba ajenda hiyo(ingawa sijakubaliana na namna inavyoshughulikia huo ufisadi,labda kama pia hakubaliana na ufisadi wote uliowahi kutajwa na chadema sasa wao wanatafuta ufisadi mpya) ni lazima kama chama cha siasa kiangalie jambo jipya. Fikiria chadema iseme ufisadi,ACT ufisadi,Cuf ufisadi,ccm ufisadi mambo mengine je?Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Humu humu JF nimewahi kuandika hivi: Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA. Andiko langu hilo, nikiwa kama mtanzania nisiye na chama chochote cha siasa, lililenga kukosoa kujiunga kwa Lowassa huko CHADEMA.
Maneno hayo sasa yanakuwa ya uhalisia. Tangu Lowassa ajiunge CHADEMA, pamoja na kinachosemwa kuwa CHADEMA/UKAWA imeongeza idadi ya Wabunge na kuminywa kwa demokrasia, wanaCHADEMA kindakindaki wamekuwa kama 'wamejitenga' na chama chao. Wanakosa hoja za kukosoa masuala ya ufisadi kwakuwa waliyekuwa wakimsema sasa wanaye.
Tangu Lowassa kujiunga na CHADEMA, CCM imeibeba ajenda ya kupambana na ufisadi. Haikuwahi kutokea CCM kutamka hadharani kupambana na ufisadi kwenye kampeni zake au hata kwenye utawala wake kwa kujiamini kuliko kuanzia siku Lowassa alipojiunga na CHADEMA. Ufisadi, kama hoja ya kujidai kwa wananchi, umepokwa na CCM toka CHADEMA!
Kimsingi, hata kama ni kimya kimya, Lowassa anaitesa CHADEMA. Anawabana wasipate cha kusema kuhusu ufisadi. Imekuwa rahisi kwasasa kwa wanachama wa CCM kupindisha kila hoja ya ufisadi toka kwa CHADEMA kwa kusema kuwa hata Lowassa aliyesemwa miaka nenda miaka rudi naye yuko CHADEMA.
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Humu humu JF nimewahi kuandika hivi: Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA. Andiko langu hilo, nikiwa kama mtanzania nisiye na chama chochote cha siasa, lililenga kukosoa kujiunga kwa Lowassa huko CHADEMA.
Maneno hayo sasa yanakuwa ya uhalisia. Tangu Lowassa ajiunge CHADEMA, pamoja na kinachosemwa kuwa CHADEMA/UKAWA imeongeza idadi ya Wabunge na kuminywa kwa demokrasia, wanaCHADEMA kindakindaki wamekuwa kama 'wamejitenga' na chama chao. Wanakosa hoja za kukosoa masuala ya ufisadi kwakuwa waliyekuwa wakimsema sasa wanaye.
Tangu Lowassa kujiunga na CHADEMA, CCM imeibeba ajenda ya kupambana na ufisadi. Haikuwahi kutokea CCM kutamka hadharani kupambana na ufisadi kwenye kampeni zake au hata kwenye utawala wake kwa kujiamini kuliko kuanzia siku Lowassa alipojiunga na CHADEMA. Ufisadi, kama hoja ya kujidai kwa wananchi, umepokwa na CCM toka CHADEMA!
Kimsingi, hata kama ni kimya kimya, Lowassa anaitesa CHADEMA. Anawabana wasipate cha kusema kuhusu ufisadi. Imekuwa rahisi kwasasa kwa wanachama wa CCM kupindisha kila hoja ya ufisadi toka kwa CHADEMA kwa kusema kuwa hata Lowassa aliyesemwa miaka nenda miaka rudi naye yuko CHADEMA.
sahihisha kauli sema kiukweli Lowassa anaitesa sana chama cha ma.jizi ccmMsema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Humu humu JF nimewahi kuandika hivi: Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA. Andiko langu hilo, nikiwa kama mtanzania nisiye na chama chochote cha siasa, lililenga kukosoa kujiunga kwa Lowassa huko CHADEMA.
Maneno hayo sasa yanakuwa ya uhalisia. Tangu Lowassa ajiunge CHADEMA, pamoja na kinachosemwa kuwa CHADEMA/UKAWA imeongeza idadi ya Wabunge na kuminywa kwa demokrasia, wanaCHADEMA kindakindaki wamekuwa kama 'wamejitenga' na chama chao. Wanakosa hoja za kukosoa masuala ya ufisadi kwakuwa waliyekuwa wakimsema sasa wanaye.
Tangu Lowassa kujiunga na CHADEMA, CCM imeibeba ajenda ya kupambana na ufisadi. Haikuwahi kutokea CCM kutamka hadharani kupambana na ufisadi kwenye kampeni zake au hata kwenye utawala wake kwa kujiamini kuliko kuanzia siku Lowassa alipojiunga na CHADEMA. Ufisadi, kama hoja ya kujidai kwa wananchi, umepokwa na CCM toka CHADEMA!
Kimsingi, hata kama ni kimya kimya, Lowassa anaitesa CHADEMA. Anawabana wasipate cha kusema kuhusu ufisadi. Imekuwa rahisi kwasasa kwa wanachama wa CCM kupindisha kila hoja ya ufisadi toka kwa CHADEMA kwa kusema kuwa hata Lowassa aliyesemwa miaka nenda miaka rudi naye yuko CHADEMA.
MBONA SIJWAHI KUWASIKIA CHADEMA WAKILALAMIKA KUWA WANATESWA NA LOWASSA AU NI ILE STYLE YA ANAKUNWA MWINGINE NA ANAYESIKIA RAHA NI MWINGINE TOFAUTI NA ANAYEKUNWA?????????????Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Humu humu JF nimewahi kuandika hivi: Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA. Andiko langu hilo, nikiwa kama mtanzania nisiye na chama chochote cha siasa, lililenga kukosoa kujiunga kwa Lowassa huko CHADEMA.
Maneno hayo sasa yanakuwa ya uhalisia. Tangu Lowassa ajiunge CHADEMA, pamoja na kinachosemwa kuwa CHADEMA/UKAWA imeongeza idadi ya Wabunge na kuminywa kwa demokrasia, wanaCHADEMA kindakindaki wamekuwa kama 'wamejitenga' na chama chao. Wanakosa hoja za kukosoa masuala ya ufisadi kwakuwa waliyekuwa wakimsema sasa wanaye.
Tangu Lowassa kujiunga na CHADEMA, CCM imeibeba ajenda ya kupambana na ufisadi. Haikuwahi kutokea CCM kutamka hadharani kupambana na ufisadi kwenye kampeni zake au hata kwenye utawala wake kwa kujiamini kuliko kuanzia siku Lowassa alipojiunga na CHADEMA. Ufisadi, kama hoja ya kujidai kwa wananchi, umepokwa na CCM toka CHADEMA!
Kimsingi, hata kama ni kimya kimya, Lowassa anaitesa CHADEMA. Anawabana wasipate cha kusema kuhusu ufisadi. Imekuwa rahisi kwasasa kwa wanachama wa CCM kupindisha kila hoja ya ufisadi toka kwa CHADEMA kwa kusema kuwa hata Lowassa aliyesemwa miaka nenda miaka rudi naye yuko CHADEMA.
Unaweza kuwa sahihi katika mtazamo fulani,lakini hauko sahihi katika mtazamo wa jumla. Ni kweli Chadema walibeba ajenda ya ufisadi nchini, na ni kweli Chadema walitaja orodha ya mafisadi akiwemo Lowassa. Na ni vizuri kufahamu kwamba tuhuma za ufisadi wa Lowassa msingi wake ni suala la Richmond, ambalo baadaye tulikuja kusikia maelezo mengi tu. Kwa ufupi ukweli kuhusu Richmond uliishafunuliwa.Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Humu humu JF nimewahi kuandika hivi: Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA. Andiko langu hilo, nikiwa kama mtanzania nisiye na chama chochote cha siasa, lililenga kukosoa kujiunga kwa Lowassa huko CHADEMA.