Mkuu hatuwezi kwenda sawa na serikali yafaa kuwaonesha wao hawapo sahihi tukifanya hayo ina maana hakuna wa kumkosoa mwenzie hapo hamna maana ya upinzaniKama mapambano yenyewe tunamuhusisha MADABIDA aliyetuuzia arv feki! Bado tunaita shughuli ya kitaifa.......
Hongera sana mbowe kwa kujielewa na mpaka watume polisi hakuna kwenda!
Hapo anampa ushindi makonda angalia gwajima kamgalagaza makonda kila kona
Hawa ni wanaccm wanao support chama cha Mauaji financially siyo rahisi kuguswa.Kama mapambano yenyewe tunamuhusisha MADABIDA aliyetuuzia arv feki! Bado tunaita shughuli ya kitaifa.......
Hongera sana mbowe kwa kujielewa na mpaka watume polisi hakuna kwenda!
Kwenye hili sakata la madawa ya kulevya kwa namna lilivyokuwa likiendeshwa na bwana makonda ilikuwa ni nafasi nzur sana kwa yeye mbowe kumuonesha makonda hakuwa sahihi.
hii ingetoa nafasi ya kujijengea imani kwa wapenzi wa ukawa na chadema ni kwa namna gani serikali inavyopambana na upinzani kuumaliza kwa kuwazushia mambo kitendo cha kutokwenda kinawaweka njia panda wapenzi wa chadema kama anasingiziwa kiongozi wao au ni ukweli kulikuwa hakuna haja ya kutunishiana misuli baina yake na makonda.
Mfano mzuri ni ndugu gwajima kwa sasa anatembea kifua mbele na ataongea lolote bila hofu mana kapekuliwa kila kona na hajapatikana na hatia.
Kwa nini akimbie ikiwa ni kiongozi mkubwa wa kambi ya upinzani hapa anatakiwa alimalize hili suala hata akisimama ktk majukwaa aongee bila kuacha viulizo kwa maana tayari atakuwa amewashinda na hili suala liende vizuri yafaa lisihusishwe na chama alikabili yeye mwenyewe.
Watu wenye akili hawaitwi kipuuzipuuzi ndio maana mbowe kawajibu na kuwapuuza kutokwenda. Wanasubiri nini kumkamata kama kweli walimaanisha ni mbowe KUB?Kwanini alijibu kama sio yeye?
mimi sio ukawa wala ccm, na wazaaa hapa kwa uchambuzi wangu, i think amekosea mbowe kuto kwenda kituoni kama yeye ana jiamini na yeye ni mwenyekiti wa chama chake ange chukua jukumu ilo kwenda aengeitikia wito kwenda tuh kutoa support regardless nini baada ya kutoka ndo ange zi sema kasoro zote, mwisho kabisa yeye mmliki wa club kubwa tuh hapa town bilcanaz sio kama ana isimamia hatakua ana watu kawa ajiri kwajili ya kuismamia club yake so pengine wafanya kazi wake wanausika? maana kwenye club kuna mengi kuna wauza unga wanakuja kuwauzia watu pale etc, club nikama kijiwe inakua ndo maana mko wa mkoa alikua ana waita baadhi ya wamiliki sio kua wanatumia au wanauza pengine unapewa report kwamba club yako ina tumika vibaya tusaidie. na WAZA TU sitaki matusi na mtu
Una hakika gani scenario za Gwajima na Mbowe zingefanana?Mkuu hatuwezi kwenda sawa na serikali yafaa kuwaonesha wao hawapo sahihi tukifanya hayo ina maana hakuna wa kumkosoa mwenzie hapo hamna maana ya upinzani