Tuanze na hapa kwanza........ Kwamba Mungu hatatuhukumu kwa madhaifu aliyotuumbia mwenyewe? Au huo moto wa jehanamu umekaririsha kamuumbia nani?"Mwenye kupenda ni Mungu maana Mungu atakupenda kwa utimilifu wako na kwa madhaifu yako bila kukuhukumu".
Dhana ya mke mmoja kwa mume mmoja ni mufilisi.Haiendani na asili ya wanyama ikiwemo binadamu na ndipo hapo tunarudi kwa watu wa kale baadhi ya jamii zilibidi kukubaliana na ndoa za wake wengi maana hiyo ndio asili.The Lord had set his standards, one woman one man for one life time. We have fallen short of this and are now blaming him!
Remember even if you've not slept with her but you lust for her you did sleep with her.
Unaweza ukawa hujalala na mtu but truly truly you've slept with hudreds on porn hub! ! You finally come marry your wife / husband unamuona hana maajabu.
Inshort, matatizo yote yamesababishwa na kupindisha standards za mwanzilisha ndoa mwenyewe.
Unazidi kuharisha tuš®You're not a robot.
You have a choice.
You will be accountable for your choices.
Make the choice to Agree with God and choose his side.
Time is running out.
Turudi kwenye msingi wa hoja.Tuanze na hapa kwanza........ Kwamba Mungu hatatuhukumu kwa madhaifu aliyotuumbia mwenyewe? Au huo moto wa jehanamu umekaririsha kamuumbia nani?
Kuna kiumbe Katili na Roho mbaya kama Mungu muweza wa yote anayeza kufanya yote yakawa mema lakini akayaacha na kutuumbia mateso makubwa kama vita magonjwa majanga nk na bado katuandalia moto wa milele eti tupambane na kumshinda Shetani hapa duniani..... SHETANI huyu aliyeshindwana naye yeye huko mbinguni akatutupia sisi ili aturubuni na kutuchoma moto?
Hawana hoja zaidi ya kudai umetoka nnje ya madaTuanze na hapa kwanza........ Kwamba Mungu hatatuhukumu kwa madhaifu aliyotuumbia mwenyewe? Au huo moto wa jehanamu umekaririsha kamuumbia nani?
Kuna kiumbe Katili na Roho mbaya kama Mungu muweza wa yote anayeza kufanya yote yakawa mema lakini akayaacha na kutuumbia mateso makubwa kama vita magonjwa majanga nk na bado katuandalia moto wa milele eti tupambane na kumshinda Shetani hapa duniani..... SHETANI huyu aliyeshindwana naye yeye huko mbinguni akatutupia sisi ili aturubuni na kutuchoma moto?
Yupo ndani ya madaTurudi kwenye msingi wa hoja.
Siku nyingine tutadadavua vyema FALSAFA YA UMUNGU NA MAISHA YA VIUMBE HAI.
Binadamu sio mnyama you've been deceived. Toa kabisa huo uongo kichwani. You're the image of God himself.Dhana ya mke mmoja kwa mume mmoja ni mufilisi.Haiendani na asili ya wanyama ikiwemo binadamu na ndipo hapo tunarudi kwa watu wa kale baadhi ya jamii zilibidi kukubaliana na ndoa za wake wengi maana hiyo ndio asili.
Msingi wa HOJA ni UPENDO wa dhati ni WA MUNGU TU...... Wabinadamu ni UBATILI MTUPUTurudi kwenye msingi wa hoja.
Siku nyingine tutadadavua vyema FALSAFA YA UMUNGU NA MAISHA YA VIUMBE HAI.
Nyie religious fanatics mnashida sana na dini zenu hizo za kuletewa.Binadamu sio mnyama you've been deceived. Toa kabisa huo uongo kichwani. You're the image of God himself.
I believe God has made provision for Polygamy, even then, whoever wants to practice this should be honest and agree that at some point he did fall short of God's standards ndomana amefikia hatua hata kumuona huyo mmoja hamtoshi.
You can't take The Lord out of anything involving life. He has the manual for navigating this.Nyie religious fanatics mnashida sana na dini zenu hizo za kuletewa.
Jadili mada kwa msingi wa kichwa cha habari stop this divesions!!!!
Mkuu ni wewe ndio umeleta habari za MunguNyie religious fanatics mnashida sana na dini zenu hizo za kuletewa.
Jadili mada kwa msingi wa kichwa cha habari stop this divesions!!!!
Kutojibu hiyo hoja anafanya uzi wake uchache bila kujielewaMkuu ni wewe ndio umeleta habari za Mungu
Umejenga HOJA yako nzima ukaiwekea msingi ni Upendo wa kweli ni wa Mungu tu
The way i see it........ ni kwamba Mke wangu ANANIPENDA na KUNIJALI kuliko Mungu wako kwa mbali mmno
Mungu hayupo kabisa kwenye msamiati wa upendo
Nyie mnataka pesa sie tunataka utamu tu , mapenzi waachieni wahindi wa kwenye movieMapenzi yachomwe moto hakika
Nikupe vitendea kazi...Mapenzi yachomwe moto hakika
Vyovyote tu,,ila mapenzi yaangamizwe kabisaNyie mnataka pesa sie tunataka utamu tu , mapenzi waachieni wahindi wa kwenye movie
Sahau , pesa utamu , kila mtu ashike 50 zakeš¤£Vyovyote tu,,ila mapenzi yaangamizwe kabisa
viwe explosive yaani nataka kulipuaaaaNikupe vitendea kazi...