Kiufupi, wananchi wote ni CCM tu

Sasa mkuu kama ccm inaanda uchaguzi yenyewe,inasimamia yenyewe,inahesabu kura yenyewe na inatangaza matokeo unataka matokeo yaweje mwisho wa Siku? Si unaona Zanzibar tulivyojaribu kushirikisha watu wengine wasio wa chama chetu mambo yalivyokuwa?
 
Basi tusishiriki huo uchaguzi,kwa sababu tusitegemee mapya,na ndio maana nimesema sisi wote ni ccm tu automatically,utake usitake
 
Endelea kujidanganya. Ngojea kanga, T shirt, kofia na ubwabwa 2020.
 
Kuna kaukweli hapo, hivi Lipumba, Slaa, Kingunge, Sumaye , Lowasa n.k, walikwisha rudisha kadi za CCM? Maana walikuwa wamelipia hadi mwaka 2025.

Hahaaaaaaah CCM oyeeeeh
 
Hili ndio kosa letu kubwa huwa hatusomi tukaelewa
Umeona eeh! Wewe ulitaka tukuitikie ndiyooooo! Haya, zidumu fikra za mleta hoja!!! Mpaka hapo nitakuwa nimekusoma na kukuelewa. But, huna kitu kingine cha kutufikirisha zaidi ya habari za chama kikuukuu na chakavu kilichochokwa dhidi ya unaojiaminisha wote kuwa wanachama wake? You're too low upstairs dude!
 
Kuna kaukweli hapo, hivi Lipumba, Slaa, Kingunge, Sumaye , Lowasa n.k, walikwisha rudisha kadi za CCM? Maana walikuwa wamelipia hadi mwaka 2025.

Hahaaaaaaah CCM oyeeeeh
Sina kumbukukumbu hiyo,,hao hawajarudisha
 
Kweli mkuu,angalia wengine wanavyoteuliwa
 
Na anakaza kwelikweli
 
Juvenile leo umeamua kunitusi ila asante sana matusi kwangu mwiko namuachia Mungu ndo mjuaji πŸ™„ πŸ™„ πŸ™„ πŸ™„
 
Naona ni Propaganda rasmi ya kufanya Chama Chetu kitukutu cha Mauaji kinapojipa ujiko wa kupokea Wapinzani kila dakika.

Any way CCM ni watu kama akina Lipumba na Magdalene Sakaya.
 
wananchi wote ni CCM asiye amini asubiri 2020

Labda kwa kuiba.Siku nikimpigia kura jamaa yeyote wa CCM labda nakaribia kukata roho au nikiwa nimekufa maana Yawezekana kwa Marehemu kupiga kura maana kwa CCM vyote vinawezekana maana hata Marehemu Mama yake Zitto akipiga kura kwenye Bunge LA Katiba.
 
Naona ni Propaganda rasmi ya kufanya Chama Chetu kitukutu cha Mauaji kinapojipa ujiko wa kupokea Wapinzani kila dakika.

Any way CCM ni watu kama akina Lipumba na Magdalene Sakaya.
[emoji12] [emoji12] mkuu mbona kama una hasira sana
 
Juvenile leo umeamua kunitusi ila asante sana matusi kwangu mwiko namuachia Mungu ndo mjuaji πŸ™„ πŸ™„ πŸ™„ πŸ™„
Usiwaze my qute..ila mimi nineongea ukweli,si unaona wengine wamepata uRC?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…