Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Kuna kiu ya maji, ya soda, ya chai, ya mtindi, ya bia na hata ya gongo! Kila mwanamke ni unique na kutegemeana na malezi na makuzi amejengewa kiu za aina fulani tu! Risk analysis inahusika kwa kila new project baba!
Risk analysis inahusika kwa kila new project baba!
Kuna kiu ya maji, ya soda, ya chai, ya mtindi, ya bia na hata ya gongo! Kila mwanamke ni unique na kutegemeana na malezi na makuzi amejengewa kiu za aina fulani tu! Risk analysis inahusika kwa kila new project baba!
Wewe usijisumbue sana kila mwanamke ataishia kwa mme wake/bf wake...na kila mwanaume atajua kipi mke wake/gf wake anakipenda.
Ukitazama sana katika point zako hapo juu, nadhani number 2 and 4 ndo wengi wanazipenda :cool2:
There is no a better answer than this, good and right thinking.
Inategemea na mwanamke, utashi na kabila. Wa kina mura bila kuwapga wanajua huwapendi
Wewe usijisumbue sana kila mwanamke ataishia kwa mme wake/bf wake...na kila mwanaume atajua kipi mke wake/gf wake anakipenda.
Ukitazama sana katika point zako hapo juu, nadhani number 2 and 4 ndo wengi wanazipenda :cool2:
ukiu zao huzijua wao wenyewe maana hapa tutaishia kuguess tu lakini hakutakuwa na jibu sahihi ni nini wanahitaji kujisatisfy labda wakija wao wenyewe watatoa majibu japokuwa yatakuwa kwa upande wao zaidi...
w...mwanamke wa kileo hana defn moja.... too complicated...
...hatujui wanataka nini...
...na wao wenyewe hawajui wanataka nini...
....hyo namba 4 mbona inachakachuliwa sana cku izi.....
w
kwa hiyo sote ni vipofu inapokuja kucheza kwenye uwanja wa mahaba?
....exactly....
...ila upofu huu....unaweza punguzwa na wao wenyewe kwa kuwa wazi....
But a man's brain is designed to do just that.......................deciphering a woman's psyche no matter how confusing it turns out to be.............the female psyche is too complicated to define with any reasonable certainty...