Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,849
- 67,285
Ahaaaaa, ni mbali wadau msibishe! Hebu angalieni 504 yake iliopaki pale TZ 721
Wewe Mkorofi sana
wako juu ya sheria, hivyo kaa kimya maisha yasonge mbeleKama kina Zito Kabwe waliadhibiwa kwa kutohudhuria vikao vya bunge kwa utovu wa nidhamu iweje huyu aliingia bungeni akiwa kalewa na asiadhibiwe naye kwakutohudhuria vikao vya bunge? Adhabu ya kuvuliwa uwaziri tu haitoshi.