Kelele zimepungua heshima imerudi mahala pake baada ya kugundua mechi inayofuata 19.10.2024 tutakwenda kukata mzizi wa fitna. Gamondi alipo sema tuwe na subra bado kuna mechi 27 zimebaki alikuwa anamaanisha, ni kocha mwenye LESENI na sio mchambuzi. Aucho na Muda walipewa likizo?