SPANISH CP
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 465
- 230
Ndani ya Manispaa ya Singida pale palipokua na stand ya zamani,Eneo hilo limeshauzwa na limepigwa uzio wa waya ndani yake pia kimo kituo cha polisi ambacho bado kinatumika.
Je huyo tajiri kanunua na hicho kituo?
Je huyo tajiri kanunua na hicho kituo?