Kituo cha Polisi cha Mugumu chavamiwa!

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,494
Taarifa zilizotufikia punde zinasema kuwa wananchi wenye hasira wakiwa na silaha za jadi, wamevamia kituo cha polisi mjini Mugumu wakishinikiza kuwahukumu watuhumiwa wa mauaji. Kweli hawa Wakurya hawana imani na polisi. Mh Vuai ameligusia hili kupitia taarifa ya habari ya ITV. Je wananchi kujichukulia sheria mikononi ni matokeo ya wananchi kutokuwa na imani na CCM









Source: Mdau -Mugumu
 

Attachments

  • 254870_230893743594883_100000227783512_1168392_3692873_n.jpg
    27 KB · Views: 1,095
  • 254870_230893750261549_100000227783512_1168394_4212254_n (1).jpg
    30.4 KB · Views: 1,063
  • 254870_230893753594882_100000227783512_1168395_6950938_n (1).jpg
    24.8 KB · Views: 1,009
  • 254870_230893756928215_100000227783512_1168396_1779702_n (1).jpg
    28.7 KB · Views: 1,029
sijakupata vizuri mkuu fafanua tukupate mkuu usilete habar nusunusu hapa itakuwa ngumu kukuelewa
 
sasa hapo nimekupata kumbe wanawataka wahalifu waliofanya mauaji, hapo sawa hatari hyo
 
Tukio limetokea saa ngapi? Unaripoti usiku na picha za mchana. How come?
 


Teh teh teh teh
Hizo mishale zinanikumbusha kipindi cha dulilo na kotoreja pia kutemya.
 
Hapo utakuata raia wamechoka kila watuhumiwa wakifikishwa Polisi kesho wanaonga wanaachiwa
 

Hivi Mkuu huyu mwanye rungu ni Polisi au raia?! kama ni Polisi ina maana nao wanatumia marungu kama hayo siku hizi!
 
Basi kuna wanasihasa fulani watanunua hiyo kesi wanapenda kweli kuseek attation kwa gharama yoyote kaaazi kweli kweli

Kama itasaidia wainunue tu hiyo kesi, maana tunakoelekea amani inatoweka, wainunue ili wasaidie wananchi serikali na vyombo vyake vinaelekea kushindwa (Mkama na Nape waisimamie).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…