Kituo cha kutibu ndoa na mahusiano. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kituo cha kutibu ndoa na mahusiano.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tabutupu, Dec 22, 2010.

 1. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  KITUO CHA KUTIBU NDOA NA MAHUSIANO.

  KWENU WADAU, NIMEFIKIRIA KWA UNDANI NA NIMEUONA NI MUHIMU SANA NIANZISHE KITUO CHA KUTIBU NDOA ZILIZO PASUKA NA MAHUSIANO YANAYO SUASUA. HUDUMA ZOTE ZITAKUWA BURE . NAJUA UNAWEZA KUWA MIONGONI MWA WATU WANAO TESWA NA UMEKATA TAMAA KWA SABABU NDOA, USIHIFU DAWA IPO.

  KAZI ZA KITUO.
  1. KUTOA USHAURI WA MATATIZO YOTE NDANI YA NDOA.
  2. KUWASHAURI VIJANA WA KIUME WAPATE WACHUMBA WAMINIFU.
  3. KUZIUNGANISHA NDOA NA CHUMBA ZILIZO PASUKA
  .


  SASA NAOMBA USHAURI WENU MAANA SASA HIVI NDOA KARIBU ZOTE ZIMEKUFA MAANA MKEO NI MKE WA KILA AMTAKAYE NA MUMEO NI MUME WA KILA MPITA NJIA, NA KILA UNAYE MPATA KUWA NA UHUSIANO NAYE ALISHA CHAKACHULIWA VYA KUTOSHA.

  Nimelelewa katika maadili mazuri, ni mkarimu mpole wa kutosha na msikivu. Nimesha tatua migogoro ya ndoa na nimerudisha mahusiano ya vijana yaliyo kuwa yanaelekea kufa. Nimesoma ninaelimu nzuri na uelewa mzuri wa saikologia hasa ya binadamu. usihofu , najua ninaloweza gfanya na nisilo liweza. Najua watu wanavyo teseka.

  NAIPENDA KAZI HII. ASANTENI.
   
 2. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  :redfaces:

  Kweli Taaabu tupu!!!!!!!!!!!!!!!

  Haya bwana, hapo kwenye red inaonesha umeshafanya marketing study na umegundua plan yako iko feasible, So just go ahead

  Hata hivyo ili tujue tukuruhusu au la, tupe credibility yako kidogo.

  Unadhani ni kwa nini kazi hii utaiweza na italeta matokeo chanya??? Una vigezo vipi. Je ni nyani mzee au???
   
 3. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  Nimelelewa katika maadili mazuri, ni mkarimu mpole wa kutosha na msikivu. Nimesha tatua migogoro ya ndoa na nimerudisha mahusiano ya vijana yaliyo kuwa yanaelekea kufa. Nimesoma ninaelimu nzuri na uelewa mzuri wa saikologia hasa ya binadamu. usihofu , najua ninaloweza gfanya na nisilo liweza. Najua watu wanavyo teseka.
   
 4. v

  vegule Senior Member

  #4
  Dec 22, 2010
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ushauri wangu hapo kwenye red it will never work. Kwa hiyo fungua kituo cha:
  1. KUTENGANISHA NDOA KWA AMANI NA KWA KUFUATA SHERIA
  2. KUSHAURI VIJANA WASIOE.
  Asante
   
 5. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Hapo umenena.

  Nakushauri ongeza credentials hizi kama additional material kwenye original posts ili watu wajenge imani yako na kisha ukuianzisha tufanyie referal wenye matatizo ya aina hii.

  Hongera kwa wazo hili
   
 6. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Vegule hii ya kwako balaa hii.

  Umenikumbusha story moja ya jamaa yangu alieniambia wabongo tunapenda vitu kinyume. Mahali umeandikiwa pa kujisaidia wewe hujisaidii unaenda mahali pameandikwa usijisaidie hapa.

  Labda kwa fikra hii, kwa sababu wabongo tumefundishwa sana mambo ya ndoa sasa ni kufundisha kinyume chake.

  Ushauri wangu, Muache jamaa aendelee na plan then na wewe anzisdha hii alafu tuwaweke kwenye mizani kulingana na matokeo.

  Kila kimoja kina umuhimu wake
   
 7. v

  vegule Senior Member

  #7
  Dec 22, 2010
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa nyongeza, unaweza pia kushauri vijana namna kupata na kulea watoto bila ya kuoa ama kuolewa. am strongly against mariage.
   
 8. v

  vegule Senior Member

  #8
  Dec 22, 2010
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  You know mkuu 95% of mariages are false. sasa ukiwashauri vijana kuoa unacreate prob ati ili uanze kusolve baadye. what a neurotic society are we. zuia tatizo ili usihangaike kusolve
   
 9. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #9
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  nashukuru kwa ushauri mkuu
   
 10. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #10
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  ngoja nifikirie kwanza , lakini ni ushauri mzuri
   
 11. Nipigie

  Nipigie Senior Member

  #11
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nafikiri upo sahihi kabisa, maana tunakokwenda vifo vya watu kwa sababu ya presha vitaongezeka kwa mewnendo wa dnoa zinavyo kwenda. Sijui hili pepo tulitoaje.
   
 12. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #12
  Dec 22, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  sifa za mume ninayemtaka....:teeth::whoo::whoo::hungry::A S-alert1:
   
 13. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #13
  Dec 22, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  wewe mwenyewe uko kwenye ndoa? au ulishawahi kuwa kwenye ndoa?, haya mambo yanatatuliwa kwa uzoefu zaidi kuliko usomi.

  NB: pia unaweza ukashindwa na majaribu kwenye hii shuhuli, kuna mkarabati ndoa mmoja hapa kijijini ashaweka mimba clients wake hawapungui 4. jamaa wameacha kuhuzuria service zake.

  -THE END-
   
 14. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #14
  Dec 22, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kwanza mimi niegundua huyu jamaa anataka kutafuna wake za watu, anataka waje halafu waeleze shida zao na jinsi walivogombana na ndoa zao achukue nafasi. Hii siyo kazi rahisi kama adhaniavyo yeye, kuna uhasama mwingine hauishi
  Awaulize Mapadre na madokta wameishia kumega wake za watu
   
 15. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #15
  Dec 22, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Wakati ukifikiria kumbuka ni akina nani watakuwa wanakuja, na watakuwa katika hali gani, ama sivyo utaishia kuongeza kabisa matatizo na kuoa wake wengi zaidi
   
 16. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #16
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  siyo hivyo mtwa. Sisuluhishi wanawake PEKE YAO, nasuluhisha ndoa yenye mume na mke. Kwahiyo lazima mume ashiriki na mke. Hii ni centre siyo mtu binafsi kwa hiyo nitakuwa na wataalam wengine watakao deal na wanawake na wanaume pia. Kama kuna mambo hayaishi hatuwezi kuyalazimisha japo tutajitahidi kutafuta njia.
   
 17. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #17
  Dec 22, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Ah, Vegule hii ni mhimu kutest kwanza ili mradi ukiona anafaa unaendelea mbele, ukioa kitu kiichoshindikana si ndo mwanzo wa kuwa wa kwanza kufika kwa mshauri?
  Hii inakubalika kwa waliofanya hivyo, unamjua kwanza halafu ukisimama madhabahuni unajibu kwa raaaaha ukijua ni nani!
  Siyo eti unajibu NDIYO NAMPENDA, lakini hujui a wa z. onja kwanza ndo upurchase
   
 18. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #18
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  hiyo onja onja ndio mwanzo wa matatizo ndani ya ndoa. Subiri wote hadi ile siku. Kama wote ni mpya huoni kama hiyo itakuwa ni raha ya ajabu hapa duniani.
   
 19. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #19
  Dec 22, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Naona kweli umedhamiria na nadhani kama utakuwa na vijana wako (wafanyakazi wengine) sawa. Yaani nakwambia ukweli, KUNA WATU tena watumishi waliopakwa mafuta, KAZI HII IMEWAWEKA PABAYA kwa macho yetu tumeona.
  lakini ilikuwa tatizo anafanya peke yake, mtu mmoja, na wengi wanaofika wanawake tu.
  Anawacouncel, wanalia, anawabembeleza hadi kumega. Yaani acha tu, Jiandae maana wengine wanakuja na machungu has wadada maana MADUME ndo mavunjaji ya ndoa, na hayataki kufika kuomba ushauri kamwe.
   
 20. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #20
  Dec 22, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  utakapokuta mambop siyo si ndo mwanzo wa kulaumu! lakini kama unajua kabisa basi ukianza kulaumu lazima uwe na matatizo yasiyo kifani. Lakini yote juu ya yote NATURE IS NOT THAT FAVOURABLE. kwa sasa kama wapo waaminifu hadi siku ile basi wakuhesabu sana.
  Labda ufanye utafiti wa hali ya juu sana umpate mwenzako kama wewe. Otherwise lazima itakula kwako!
   
Loading...