onyamnyothoche
Member
- Sep 23, 2016
- 55
- 53
Habari zenu.
Naomba kuulizia kituo kizuri cha kurisiti mtihani kwa maeneo hasa ya Mwanza au Geita.
Kama unajua kituo kinachofaulisha naomba unijuze nataka nikarisiti mtihani.