Kitumbua kimeingia mchanga


kweli kabisa yani...
 
hahahahhahaaaaa........pole bana.....c na wewe ukauke tuuu......ana sababu yake may be.....
 

aisee, UNIVERSITY OF JF
 
Mtoa mada umenigusa moja kwa moja. Lakin hii kitu ikinitokea huwa najichomoa kimya kimya. Hapo sababu kuu ni kuwa anakuwa kapata mwingine au kakuchoka...
 
Kama issue ni maneno matamu tu..anza kumwambia wewe, mwambie maneno matamu yooote, hakutafuti? Anza wewe kumtafuta halafu onyesha hukwaziki, Haku update mambo yake? we mu update yako.....!

Then maduku duku yakikuzidia mvizie siku kapoa, mko katika pozi la kimahabat...tema nyongo zako zooote bila kupanick...asipokuelewa basi....!
 
Afu ukiona mtu kakubadilikia usijiloge kumwambia muachane yaani hapo utaumia zaidi,cha msingi we left kimya kimya,mtu aliechange vigumu kumbadilisha ukitaka abadilike subiri muachane mkae utashangaa anarudi mxiuuuu mtimue usikubali kua nae tena watu wa hivi ndio hata wakioa ikitokea kaona kihawara huko nje utajuta ndani ya nyumba
 
Ilinitokea hii kijana, lakini nikiwa kama mwanaume,sikubabaika kujiuliza mara mbili mbili.

Nilinyanyua simu nikaamuuliza tu anieleze kama ni nyeupe au nyeusi? Akajibu nyeusi nikamwambia haaya mama mungu awe nawe.

Nilikuja pata mashine mpaka nikawa naiogopa,nkaanza kujiuliza nlikuwa nafanya nn kwa yule ---- kule.god forgive.nashukuru tuko kwenye hatua muhimu nampenda sana.

U just go bwana.
 

congrats mdau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…