Kitumbua kimeingia mchanga

kuna maswali ya kipuuzpuuz sana
-Uko wapi
-Una fanya nini
-Upo na nani??
Aaaaargh,wanaume weng hawayapend

mmmhhh kuna mazingira mengine no way lazima umuulize tu just kwa afya na ustawi wa penzi lenu! abiria chunga mzigowo ohooooo...
 

"Ukimegewa demu wako Nawe tafuta Mnyonge Umegee"
 
Mie nadhani mmemaliza kuigiza maisha. Sasa ndio mnaanza kuishi maisha kiuhalisia..
 
Amepata anae mfeel zaidi yako
 
Zamani husingiziwa mengi sana...

Wengi husahau kuwa tunaishi sasa na wala si jana au juzi...
 
Ni muda wa kutafuta maisha, wenzake wengi saivi wako mbali yeye bado yupo tu na i love you zako
 
Koh koh koh koh koh koh koh koh... C uwe kama mimi mapenzi nimeyapa kisogo yaan sasa hv hakuna stress ni raha tupu.. Kuwa single kuna raha yake ndugu zanguni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…