Kituko: Waziri Mkuu Luxembourg afunga ndoa ya jinsia moja

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Waziri Mkuu wa Luxembourg Xavier Bettel (Mwanaume) amefunga ndoa na 'mpenzi' wake wa siku nyingi Gaunthier Desteney (Mwanaume).

Muungano huu wa jinsia moja ni wa kwanza kufanywa na kiongozi wa jumuiya ya nchi za ulaya.

 

Attachments

  • USHOGA MKALI.jpg
    28.2 KB · Views: 49,349
kwa mujibu wa benki ya dunia hyo nchi ndo inaongoza kwa kuwa na uchumi imara kuliko zote duniani...naona sasa ndo waziri wao ameamua kusherehekea mafanikio kwa njia hyo
 
Mungu wangu, kwetu wanakazana angalau tuwe na mke zaidi ya moja kupunguza wadada na wajane wanaosikia tu ndoa wao wameanza kugeuzana wenyewe kwa wenyewe,

Ni muda wa Shetani kutawala sasa!!!!!
 
Aisee kwa jins watanzania tulivyo lazima tutaiga tu

Watakaoanza kufunga hii ndoa Tanzania HAKIKA MUNGU atawatafuna! Kizazi cha kuacha magugu na ngano kumea mahali pamoja kimeisha!
 
Hiyo ni halali kwa wenzetu upande wa pili,utakuta mchungaji ndio amehusika kufungisha ndoa,so sad.
 
Labla ni utani tu wanatafuta KIKI kama hawa bongomovie wetu
 
Waziri Mkuu wa Luxembourg Xavier Bettel (Mwanaume) amefunga ndoa na 'mpenzi' wake wa siku nyingi Gaunthier Desteney (Mwanaume).

Muungano huu wa jinsia moja ni wa kwanza kufanywa na kiongozi wa jumuiya ya nchi za ulaya.

Mkuu nimeshaAnza kuhisi kichefuchefu kwa taarifa hii...tumeshafika ngazi kubwa kwa watu wakubwa kama hawa? kweli mwisho wa dunia upo karibu
 
Kweli kiama hakiko mbali; huku hawa, huku Islamic satanists, huku majanga mbalimbali etc etc..je tutatoboa?!
 
Luxembourg ni nchi ndogo kama asilimia 50 tu ya Tanzania ,lakini ni Tajiri zaidi kimaisha Kupita nchi zote za bara la ulaya. Ambapo kila mwananchi anavuna wastani wa shilingi milion 160 kwa mwaka.
Lakini waziri mkuu wa nchi hiyo ambaye ni mwanaume amemuoa mwanaume Mwenzake, na Kuwa mwanasiasa wa kwanza kuoa shoga.
 

Attachments

  • 1431779235898.jpg
    9.9 KB · Views: 952
Ooooooooh Mungu wanguu....Kweliii dunia imeisha utamuoaje mwanaume mwenziioo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…