Jana barabaa ya mwenge pale ITV ulipita msafara wa Makamu wa Rais Bilal...cha kushangaza kulikuwa na matrafik wakizuia magari ili kuupisha msafara na magari yote yalikaa kando. Pikipiki ya ya king'ola ikapita kasi!!
Sasa cha ajabu kwa mbele kuna gari ya kawaida tu, ikawa inakuja, ile gari ilikuwa na plate No ya kijani, trafic wamejaribu kuisimamisha ile gari haikusimama....na mara ule msafara wa Bilal ukapishana na ile gari. Kilichoendelea mi sijui.
Swali: Kwanini hii gari haikusimama??(Inasemekana gari za PN ya kijani ni za UN), wamedharau msafara wa makamu wa Rais?? Je kuna sheria yoyote inayotoa jibu ya hii kitu?
Usalama: Vp kwenye suala zima la usalama??mfano ile gari ingesababisha ajali kuigonga gari ya bilal ingekuaje?? Au tuassume alipanda ile gari ana silaha ya moto kumdhuru Makam wa Rais??
Sinziga, heshima yako mkuu!
Nikurekebishe kidogo, PN za kijani siyo za UN, ni kwa ajili ya wale wote wenye Diplomatic Passports/Immunity (other than UN officials with Diplomatic (red) passport)! Kwa mfano mabalpozi wa nchi mbalimbali, maofisa wa balozi mbalimbali zinazowakilisha nchi zao hapa Tanzania and all other Diplomartic Corpse!! (EAC, ESAMI, AU, SAD C etc).
Inawezekana Traffic alitoa ishara ya kumchanganya dereva, au dereva hakuwa anaelewa taratibu vema, au kuchnganyikiwa tu! Inawezekana pia kwamba alifanya kwa makusudi....hapa ni vyombo vyetu vya usalama kushindwa kufanya kazi kwa umakini!! Kwa muda mrefu nimeshuhudia wakiwaogopa hawa wenye PN za blue (UN) au green (Diplomatic Corpse)...kikubwa ni LUGHA! Na hawa jamaa wameligundu ahilo, wakisimamishwa tu huwa wanatwanga kimombo au kifaransa, kispaniola etc (wakati wakija pale Corner Bar au Jolly huongea kiswahili fasaha kabisa).
Bado safari ndi ndefu kwa nchi hii...
Inawezekana Traffic alitoa ishara ya kumchanganya dereva, au dereva hakuwa anaelewa taratibu vema, au kuchnganyikiwa tu! Inawezekana pia kwamba alifanya kwa makusudi....hapa ni vyombo vyetu vya usalama kushindwa kufanya kazi kwa umakini!! Kwa muda mrefu nimeshuhudia wakiwaogopa hawa wenye PN za blue (UN) au green (Diplomatic Corpse)...kikubwa ni LUGHA! Na hawa jamaa wameligundu ahilo, wakisimamishwa tu huwa wanatwanga kimombo au kifaransa, kispaniola etc (wakati wakija pale Corner Bar au Jolly huongea kiswahili fasaha kabisa)
mkuu
plate number za kijani ni diplomatic vehicles, blue ndiyo UN
kwani UN agents hawana diplomatic status? Ondoeni hilo neno "diplomatic" katika kuwatofautisha, green, red, etc. wote wana diplomatic designation.Sinziga, heshima yako mkuu!
... hawa wenye PN za blue (UN) au green (Diplomatic Corpse)...
Alipigiwa kura kama mgombea mwenza!!Makamu wa rais alipigiwa kura ktk uchaguzi mkuu?
Ana kazi mkuu,anashughulikia suala la mazingira!!kwanza huyu Bilal ana kazi gani?anatia hasara tu serikali we mtu mmoja tena mzee ana wake wawili ndo maana limsafara lake lirefu sana..maana kutwa yuko na wake zake wawili
kwanza huyu Bilal ana kazi gani?anatia hasara tu serikali we mtu mmoja tena mzee ana wake wawili ndo maana limsafara lake lirefu sana..maana kutwa yuko na wake zake wawili
Du mkuu wazidi kukanganya...corpse ni maiti!!!Dah nimekusoma mkuu...thanx kwa kunirekebisha...Ila diplomatic vehicle(Corpse)..ningeomba ufafanuzi!! au ndio CIA wenyewe??