Kituko kuhusu teja

Mkuu wewe ni Excellent kweli. Japo nyengine ni copy and paste. Lakini umetufurahisha sana. Thanks
 
Palikuwa na teja ambaye alitoka mbio uchi mpaka maskani kwa mateja wenzake. Alipofika, akawauliza wale wenzake' oya hili suti mwaiyonaje' wale wenzake wakamjibu 'hiyo suti iko poa lakini mbona iyo tai umeifunga chini?'
Alikuwa wa kike au kiume?
 
Exellent vituko vyako vinanivunja mbavu, nimecheka mno.
 
mkuu punguza bana,doh AKANANA yangu imekwisha yote kichwani baada ya kusoma hizi mambo zako...Doh Bibi anaweza hata pinga na Mkuu wa kaya kuwa anaweza mkalia uchi....Teh teh teh teh...
 
 
Alikuwa wa kike au kiume?
<br />
<br />
Angekuwa mwanamke wangesema;suti yako ni nzuri ila imechanika chini,nenda kashone,halafu maeneo ya kifuani(matiti) wangesema;mbona mifuko ya koti umeitoa nje ndani?
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…