mzee wa njaa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 1,363
- 224
Usikurupuke kuhukumu ndg, ukisoma majukumu ya CAG ni pamoja na kuishauri serikali kwenye mambo ya fedha, PM kumwomba CAG ni sawa kabisa make yeye si mtaalam wa mambo hayo. Ndiyo kazi ya kuwa na watu kama CAG, akisema tubadili sheria au tuongeze adhabu serikali inatakiwa ifanyie kazi ushauri. PM hawezi jua kila kitu.
This Prime Minister is a joke.
Mkuu acha kubwabwaja!!
Ebu soma kazi za CAG kisheria kama zilivyoanishwa na sheria ya masuala ya fedha (Public Finance Act Number 6 of 2001; ingawa ilifanyiwa marekebisho mwaka 2004, na sasa hivi nafikiri itafanyiwa marekebisho. Lakini marekebisho yote hayajabadili majukumu ya CAG); kupitia Part IV - C, sections 30 and 31!!
Kwenye iyo sheria sijaona pale ambapo CAG ana wajibu wa kumweleza PM au serikali namna gani ya kuwawajibisha wezi wa fedha zetu!! Kazi kubwa ya CAG ni kutoa taarifa/ripoti za masuala ya fedha za umma.
Pia angalia hata katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, sura ya 7, sehemu ya 2, kifungu cha 143, majukumu ya CAG yamewekwa wazi kabisa. Na sijaona unayoyasema mkuu!!!
Wewe unaelewa kuwa wahasibu na wakurugenzi wanaofuja pesa za halimashauri huwa wanahamishwa wilaya au manispaa?! Hvyo pinda hana lolote bado hajajua awapeleke wapi watu hawa.!Usikurupuke kuhukumu ndg, ukisoma majukumu ya CAG ni pamoja na kuishauri serikali kwenye mambo ya fedha, PM kumwomba CAG ni sawa kabisa make yeye si mtaalam wa mambo hayo. Ndiyo kazi ya kuwa na watu kama CAG, akisema tubadili sheria au tuongeze adhabu serikali inatakiwa ifanyie kazi ushauri. PM hawezi jua kila kitu.
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari kupitia Ch10, nikamuona waziri mkuu wetu Pinda eti anaiomba ofisi ya CAG itoe mapendekezo ya namna ya kuwabana wanaofuja pesa za serikali.
Hiki nimeona ni muendelezo wa vituko vya waziri mkuu wetu Pinda, hivi kweli hakuna sheria za kuwabana hawa wanaofuja pesa za serikali mpaka CAG atoe mapendekezo?
Sasa naamini waziri mkuu wetu anahitaji sala maalum, naona gamba limefunika na kucompress brain yake, Mungu amsaidie.
Sijui wanajamvi mnaionaje kauli hii.
Usikurupuke kuhukumu ndg, ukisoma majukumu ya CAG ni pamoja na kuishauri serikali kwenye mambo ya fedha, PM kumwomba CAG ni sawa kabisa make yeye si mtaalam wa mambo hayo. Ndiyo kazi ya kuwa na watu kama CAG, akisema tubadili sheria au tuongeze adhabu serikali inatakiwa ifanyie kazi ushauri. PM hawezi jua kila kitu.
Usikurupuke kuhukumu ndg, ukisoma majukumu ya CAG ni pamoja na kuishauri serikali kwenye mambo ya fedha, PM kumwomba CAG ni sawa kabisa make yeye si mtaalam wa mambo hayo. Ndiyo kazi ya kuwa na watu kama CAG, akisema tubadili sheria au tuongeze adhabu serikali inatakiwa ifanyie kazi ushauri. PM hawezi jua kila kitu.
ni mgonjwa so nahisi amepungukiwa na vitu kichwaniNilikuwa naangalia taarifa ya habari kupitia Ch10, nikamuona waziri mkuu wetu Pinda eti anaiomba ofisi ya CAG itoe mapendekezo ya namna ya kuwabana wanaofuja pesa za serikali.Hiki nimeona ni muendelezo wa vituko vya waziri mkuu wetu Pinda, hivi kweli hakuna sheria za kuwabana hawa wanaofuja pesa za serikali mpaka CAG atoe mapendekezo?Sasa naamini waziri mkuu wetu anahitaji sala maalum, naona gamba limefunika na kucompress brain yake, Mungu amsaidie.Sijui wanajamvi mnaionaje kauli hii.
kweli nchi inapitia kwenye hali ngumu saaana, pinda si mtoto wa mkulima bali ni mtoto wa mafisadi, pm muoga ka kunguru analialia tuuuuu, jamani tuikomboe hii nchi otherwise tutaangamia milele.