miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
ha haha mimi nilikuwa wa 13 nikafuta tatu na kuitoboa kabisa kufika home baba anauliza mbona imefutwa futwa nikasema kalamu ya mwalimu ilikuwa imeisha akawa anaitengenezea pale pakatoboka na amesema samahani sana ,,, ha hahaha ndugu yangu niliambulia kibao cha kwenye lips kutoka kwa mother aiseee nilipigwa mpaka nikaumwaMi nilivyokuwa darasa la nne ripoti iitoka nimefeli kinyama,mwalimu akanipa kwwnye bahasha niipeleke home,mwanaume nikasema ngoja niifungue niicheki,kufungua tu daaaah,kitu nimekuwa wa 67 kati ya wanafunzi 77,nikaona huu ni msala nyumbani,basi nikaifuta ile sita kiustadi sana nikaonekana nimekuwa wa saba,home wakastukia mchezo kwani maksi zilikuwa mbovu halafu eti nimefaulu,weee,nilikula mbata,siwezi kuzisahau kamwe
Kumbe ndo maana lips zako nyeusi laini eehha haha mimi nilikuwa wa 13 nikafuta tatu na kuitoboa kabisa kufika home baba anauliza mbona imefutwa futwa nikasema kalamu ya mwalimu ilikuwa imeisha akawa anaitengenezea pale pakatoboka na amesema samahani sana ,,, ha hahaha ndugu yangu niliambulia kibao cha kwenye lips kutoka kwa mother aiseee nilipigwa mpaka nikaumwa
yawezekana aisee .. mama alikuwa mkali sana aisee hadi tukawa tunamwita simbaKumbe ndo maana lips zako nyeusi laini eeh
HAKO KA MSTARI TU KAMENIUANilimgeukia mshkaji nikamuangalia kwa macho ya 'leo natamani nigeuke barafu niyeyuke'
Ha haha ha hii nomaNakumbuka nilikua na mchezo wa kudandia magali kwa nyuna bila dereva kujua..bas siku moja nilidandia trector nikashindwa kushuka trector lilikua linafata mawe polini mbali kidogo...nlivoona naji yamenizidi ilibidi nijisalimishe tu kwa dereva...dereva akanambie twende wore mpaka anakochukua mawe tutarudi wot,kufika kule alinigonga bakora za kutosha.
Mda wa kurudi trector likaalibika ijabidi tulale ukouko..uku home nako natafutwa sana Aaah keshi yake nilivorudi nlikura njiti za kutosha..
ha haha mimi nilikuwa wa 13 nikafuta tatu na kuitoboa kabisa kufika home baba anauliza mbona imefutwa futwa nikasema kalamu ya mwalimu ilikuwa imeisha akawa anaitengenezea pale pakatoboka na amesema samahani sana ,,, ha hahaha ndugu yangu niliambulia kibao cha kwenye lips kutoka kwa mother aiseee nilipigwa mpaka nikaumwa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2]Nakumbuka nilikua na mchezo wa kudandia magali kwa nyuna bila dereva kujua..bas siku moja nilidandia trector nikashindwa kushuka trector lilikua linafata mawe polini mbali kidogo...nlivoona naji yamenizidi ilibidi nijisalimishe tu kwa dereva...dereva akanambie twende wore mpaka anakochukua mawe tutarudi wot,kufika kule alinigonga bakora za kutosha.
Mda wa kurudi trector likaalibika ijabidi tulale ukouko..uku home nako natafutwa sana Aaah keshi yake nilivorudi nlikura njiti za kutosha..
ulikula Big G zote hizo! ndo maana umeganda ubongo hadi leoDaaah nakumbuka babu yake na mama alikuja home kutibiwa toka bush, baasi kuna siku mimi na yeye tulitengewa chai mtu mbili mimi na yeye, akanywa kikombe chake kamaliza, chupa ipo upande wake lakini akaniambia nimmiminie chai(as utaratibu mdogo kummiminia mkubwa) heee me nikamwambia, babu we unashindwa kumimina mwenyewe chai. Hakusema pale, alisubiri mpk nilipopata msara mwingine wakati mother ananifokea BABU nae akakumbushia vile nilivyomwambia amimine chai mwenyewe, heeeeeee hizo stick zilikuwa za bundle la mwaka......KINGINE kuna bro angu aliniambia nikamuuzie big G au jojo shuleni kwetu, la kwanza hiyoooo baasi mtu akija kununua jojo au big G, nikimtamani na mimi nakulaaaa, muda mwingine nikawa nakula mwenyewe tu, bro alikuwa anakaa mbali kidogo, siku alipokuja katika lile box la 780 nilimkabidhi tsh 60 tuuuu, ha ha ha hakunifanya kitu ila mpaka leo tukikumbushiana huwa tunacheka mpk machozi
Ha ha ha karibu BOT hapaulikula Big G zote hizo! ndo maana umeganda ubongo hadi leo
He hee ukajinyeamimi nakumbuka, niliota nipo chooni, naharisha balaa....otea nilipoamka asbh ilikuwaje....!
Sidhani Kama mamayo ana imani na usalama wa mtandao wako.sitasahau nilipokua mtoto nilitumwa sokoni nkakutana na wacheza kamali wa funika funua wakanipa hela njaribu nkala mwisho nkajikuta nataman nkachezea hela ya maza wangu ikaliwa kimbembe ikawa kurudi home maana ningepigwa kishenz ila namshukuru mungu akinpa akili ambayo had leo nashndwa kuamin kama mm ndo nilitumia ule ujanja kwan nilienda mtoni nkajipaka matope mwili mzima afu nkarud nyumban nalia nkamwambia maza kuna watu wamenkamata wamechukua hela wamenpiga mambo yakaisha kiroho safo
cjaelewaSidhani Kama mamayo ana imani na usalama wa mtandao wako.