NyakaiIkagogo
Senior Member
- Nov 5, 2013
- 182
- 46
Wakati nakatiza mtaa wa Nyachijima, Kijiji cha Kidyama kilichopo Kata ya Kigondo Wilaya ya Kasulu, nimekutana na Mzee KUDONA BALAKUBHA MFUMYA aliyekuwa ametoka kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura linaloendelea katika Shule ya Msingi Kidyama.
Kituko, nilipoangalia Kadi yake ya mpiga kura nimesitaajabu baada ya kuona mwaka wake wa kuzaliwa ni 1995 na Jinsia yake KE. Mzee huyu kwa mjibu wa maelezo yake amewambia ana umri wa miaka 90 na ni Mwanaume.
Nadhani umakini unahitajika katika zoezi hili.