Lambert Mende
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 210
- 43
Piga vizuri hyo picha,image uko blur
Nakumbuka tume ya uchaguzi moja ya changamoto walizozitaja ni kuwa na wataalamu wachache wa kufanya kazi hii.
Sasa unakuja kujiuliza je, walikurupushwa na zoezi hili au la???Na kama walijiandaa kwanini kunakuwa na uzembe wa namna hii???