kituko cha prof.jk na pm pinda

kituko cha prof.jk na pm pinda

kerai

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2013
Posts
222
Reaction score
151
Jana majira ya saa tano asubuhi Rais Barack Obama alimtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya M. Kikwete katika hotel kwa niaba ya kumjulia hali. Mh. Kikwete alitumia fursa hiyo kumuuliza Rais Obama anawezaje kuongoza nchi kubwa na complicated kama Marekani. Obama alisema ni rahisi sana ni kuwa na cabinet yenye akili (intelligent cabinet). Mh. Kikwete akamuuliza Obama utajuaje mtu unayemchagua ana akili?. Kama kawaida Obama akajibu very Simple! (Rahisi sana). Obama Akampigia simu Hilal Clinton hakuwa ameambatana naye hospitalin hapo. Obama akaweka loud speaker akamwambia Hilal hebu nijibie swali hili ninaloenda kukuuliza. Obama akauliza baba yako na mama yako wana mtoto ila huyo mtoto si mdogo wako, si dada yako na wala si kaka yako. Je mtoto huyo ni nani?. Hilal akajibu very simple its me! (Rahisi sana ni mimi). Obama akamuuliza Jk. Umesikia? Mh. JK Akajibu ndio nimesikia! Obama: ni nani? Mh. Jk ni yeye Hilal. Basi wakaendelea na story zingine zikiwemo za ges IPTL nk. Baada ya muda wa dk 15 Obama akaaga kuondoka. Basi baada tu ya obama kuondoka, Mh. Kikwete akanyanyua simu yake na kumpigia simu waziri b mh. Pinda! Pinda kapokea simu salamu kwa wingi. Baada ya salaam Mh. Rais akamwambia pinda naomba unisikilize kwa makini na unijibu swali hili ntakalokuuliza!. Pinda kajibu shaka ondoa mheshimiwa. Mh. Akamuuliza Pinda eti baba na mama yako wana mtoto na mtoto huyo si mdogo wako wala kaka yako wala si dada yako eti mtoto huyo ni nani? Pinda akafikiri kama sekunde 30 hv bila jibu. Mwisho wa siku akasema dah! Mh. Nipe muda nikipata jibu ntakuambia. Akakata simu. Pinda alikuwa amekaa karibu na membe, sitta, lukuvi, welema. Prof. Mhongo pamoja na ana tibaijuka. Pinda aliomba msaada wa swali hilo hakuna aliyempa jibu. Basi ilipofika jioni waheshimiwa kumbe wana gym yao pale dodoma huwa wanapasha moto misuli. Basi pinda kwa mbali akamuona Tundu lisu akipasha, akamfuata kwa karibu. Na akamuuliza. Lisu naomba nikuulize eti unaweza kunijibu hili swali, baba na mama yako wana mtoto huyo mtoto si mdogo wako wala kaka yako na wala si dada yako je. Mtoto huyo ni nani? Lisu kacheka na kusema PM bwana! Mtoto huyo ni mimi! Pinda aah! Kweli? Lisu. Kweli mheshimiwa. Basi pinda kanyanyua simu yake na kumpigia Mh. Rais. Pinda hallo Mh. Nimepata jibu la swali lako. Rais kikwete eehe niambie! Pinda kajibu. Mtoto huyo ni Tundu lisu!. Rais akamwambia umekosa ni Hilal clinton! Hahahahahahh! Tafakari chukua hatua
 
Kwı kwı kwı umefanya asıra zangu zıyeyuke asante sana mkuU
 
Very interesting!!! hao ndio ma genius wa inji hii vipi kwa akina sisi huku mitaani??
 
Duh hii hatari sana aisee na nimeipe da zaidi
 
Unamaanisha tunaongozwa na vilaza? Ni vema rais kufanyiwa interview kabla ya kuapishwa
 
Back
Top Bottom