Kitufe cha OFF cha TCRA

Yaani wewe jamaa ni mgumu kuelewa sana! kitakachofuata watakufutia thread na ban juu
 
Hakuna kitu kama hicho.
Propaganda tu.
Kwani lazima manufacturers wa simu wanasubmit IMEI kwa TCRA?
Non sense
 
Rubii
Mi mgumu kweli kweli kuelewa, yaani dahh I can't explain nilivyo kung'ang'anizi
Kwani hii ina ubaya gani,
Ebu nambie
 
Back
Top Bottom