Najua hata wewe au mwenzio anaweza kuwa na kitu/vitu vya ajabu/kipekee....
mfano mimi, mpaka najishangaa kwa hili..!!
NAWEZA KAA MAHALI (mfano nyumba yakupanga) NA MTU KWA MUDA WA HATA MWEZI MMOJA NISIMTIZAME SURA, NA HATA AKINIONGELESHA, BADO NAKUWA SINA 'INTEREST' YA KUMTIZAMA !! ndio ukweli..
Hebu na wewe..kwa ufupi ni dondoshee ...