Salahan JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 2,961 Reaction score 3,695 Oct 9, 2023 #1 Wapi ntapata kadi jamani wananzengo
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,265 Oct 9, 2023 #2 Ukishakuwa CCM na uzuri na urembo unakuwa sufuri
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 7,697 Reaction score 15,966 Oct 9, 2023 #3 Alafu wapo kimya wanakula wenyewe tu.
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 21,708 Reaction score 51,122 Oct 10, 2023 #4 Kijana kuwa CCM ni dalili mbaya uzeeni.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,461 Reaction score 829,861 Oct 10, 2023 #5 Mr Salim Mhina said: View attachment 2777255Wapi ntapata kadi jamani wananzengo Click to expand... Kilichokukosha hapo ni huo urembo bandia wa kununua? Uzuri halisi wa mwanamke huonekana asubuhi akiamka na kabla hajagusa uso wake wala kichwa chake Sent using Jamii Forums mobile app
Mr Salim Mhina said: View attachment 2777255Wapi ntapata kadi jamani wananzengo Click to expand... Kilichokukosha hapo ni huo urembo bandia wa kununua? Uzuri halisi wa mwanamke huonekana asubuhi akiamka na kabla hajagusa uso wake wala kichwa chake Sent using Jamii Forums mobile app
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,245 Reaction score 90,421 Oct 10, 2023 #6 Joannah said: Kijana kuwa CCM ni dalili mbaya uzeeni. Click to expand... Hahaha huyu utashangaa ,kawa viti maalum bungeni
Joannah said: Kijana kuwa CCM ni dalili mbaya uzeeni. Click to expand... Hahaha huyu utashangaa ,kawa viti maalum bungeni
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,245 Reaction score 90,421 Oct 10, 2023 #7 Sultan MackJoe Khalifa said: Alafu wapo kimya wanakula wenyewe tu. Click to expand... Jiunge nao, utawala sana huko ktk vikao vya chama na jumuia
Sultan MackJoe Khalifa said: Alafu wapo kimya wanakula wenyewe tu. Click to expand... Jiunge nao, utawala sana huko ktk vikao vya chama na jumuia
MUBENDE JF-Expert Member Joined Nov 11, 2022 Posts 1,589 Reaction score 2,734 Oct 10, 2023 #8 Mshana Jr said: Kilichokukosha hapo ni huo urembo bandia wa kununua? Uzuri halisi wa mwanamke huonekana asubuhi akiamka na kabla hajagusa uso wake wala kichwa chake Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Na uzuri wa mwanamke ni kuitunza na kuiheshimu ndoa na familia yake.
Mshana Jr said: Kilichokukosha hapo ni huo urembo bandia wa kununua? Uzuri halisi wa mwanamke huonekana asubuhi akiamka na kabla hajagusa uso wake wala kichwa chake Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Na uzuri wa mwanamke ni kuitunza na kuiheshimu ndoa na familia yake.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,461 Reaction score 829,861 Oct 10, 2023 #9 MUBENDE said: Na uzuri wa mwanamke ni kuitunza na kuiheshimu ndoa na familia yake. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
MUBENDE said: Na uzuri wa mwanamke ni kuitunza na kuiheshimu ndoa na familia yake. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 21,708 Reaction score 51,122 Oct 10, 2023 #10 Mtu Chake said: Hahaha huyu utashangaa ,kawa viti maalum bungeni Click to expand... Yaani hii nchi ngumu sana
Mtu Chake said: Hahaha huyu utashangaa ,kawa viti maalum bungeni Click to expand... Yaani hii nchi ngumu sana
MUBENDE JF-Expert Member Joined Nov 11, 2022 Posts 1,589 Reaction score 2,734 Oct 10, 2023 #11 Joannah said: Yaani hii nchi ngumu sana Click to expand... Viti maalumu hahahaha
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,053 Reaction score 23,670 Oct 11, 2023 #12 Joannah said: Kijana kuwa CCM ni dalili mbaya uzeeni. Click to expand... Wenzako wanaamini watakuwa katibu mkuu UWT
Joannah said: Kijana kuwa CCM ni dalili mbaya uzeeni. Click to expand... Wenzako wanaamini watakuwa katibu mkuu UWT
peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 16,029 Reaction score 26,235 Oct 11, 2023 #13 Mtu Chake said: Jiunge nao, utawala sana huko ktk vikao vya chama na jumuia Click to expand... Umenikumbusha DC Nzega
Mtu Chake said: Jiunge nao, utawala sana huko ktk vikao vya chama na jumuia Click to expand... Umenikumbusha DC Nzega
Msakaa Jr JF-Expert Member Joined May 18, 2017 Posts 7,390 Reaction score 7,838 Oct 29, 2023 #14 peno hasegawa said: Umenikumbusha DC Nzega Click to expand... Alichakaza vipochi manyoya sana?
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,460 Reaction score 45,036 Oct 31, 2023 #15 Salahan said: View attachment 2777255Wapi ntapata kadi jamani wananzengo Click to expand... nyama za wakubwa hizo kijana, pita polepole. CCM ni zaidi ya uijuavyo.
Salahan said: View attachment 2777255Wapi ntapata kadi jamani wananzengo Click to expand... nyama za wakubwa hizo kijana, pita polepole. CCM ni zaidi ya uijuavyo.