Hilo ni fumbo.. Uhalisia huu hapaEheee
Hembu turudi kwenye aya ya mwisho,
Hii mwanzo niliamini ni hivyo, baadae nikajua ni kamba, leo hii unataka unirudishe kaanani..
je kuna fact nyingne ya kushawishi zaidi ya ile Walikua wanasema eti akizaa anapanda juu ya kilele anajiachia anapasuka...
Asante sana kwa ufafanuziKuna kipindi nilikiona safari kama si itv wakimuelezea kinyonga, kua vinyonga wanataga na aina hyo pekee inapatikana tanzania ndio wanazaa. Pia wakasema kinyonga sio anakufa akizaa bali wakati mwingine ni kutokana na ukubwa wa kinyonga aliepo tumboni, hivyo angekua mwanadamu angefanyiwa operation , lakini kwa kua hakuna namna ya operation hvyo ndo anapasuka na huyo mtoto anatoka na yeye kufa
Pia wapo wanaozaa salama.
Sio Singida tena pale Namfua karibu na kota za polisi?karibuni kwenye mkutano wa mahubiri hapa kizota dodoma, tujifunze ukuu wa Mungu
Niko Kibaha kwenye mkutano wa wawekezaji na wafanyabiashara TNBCkaribuni kwenye mkutano wa mahubiri hapa kizota dodoma, tujifunze ukuu wa Mungu
[emoji23][emoji847][emoji847]Nimestaafu[emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Pamoja na hiyo elimu uliyonayo bado unaamini huu upuuzi.? Bc huna tofauti na wale wanaosema zile ndege zinazotoa moshi mweupe ni roketi na viwanja vyao vipo Misri na SAVinyonga wote hawana Mama kwakuwa ili wazaliwe inabidi mama afe!