kitu original

kitu original

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,209
542089_561145233913260_2047345269_n.jpg
 
Nakumbuka sosoliso alimuhonga Paloma kitu ya hivi, hiyo ukitaka kukata kona lazima ukatafute uwanja ulipo vinginevyo we tembea in one direction tu.
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka sosoliso alimuhonga Paloma kitu ya hivi, hiyo ukitaka kukata kona lazima ukatafute uwanja ulipo vinginevyo we tembea in one direction tu.
Baba V ile niliyomuhonga mai waifu wangu Paloma iko bomba kuliko unavyodhania.. Nimewaajiri mabaunsa wanne kwa ajili ya kuikatisha kona Vogue ile pale ambapo waifu anataka kupinda kona lol..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hiyo imenikumbusha mbali sana wakati ule magari yote ya serikali yalikuwa land rover!
 
Hiyo kitu iko makini sana, ikikwama hiyo sehemu hata uje na V8 lako hupiti.
 
Baba V ile niliyomuhonga mai waifu wangu Paloma iko bomba kuliko unavyodhania.. Nimewaajiri mabaunsa wanne kwa ajili ya kuikatisha kona Vogue ile pale ambapo waifu anataka kupinda kona lol..

hahahhaaaaa unanchekesha hadi vitwini vimecheka!!!
 
Back
Top Bottom