kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 May 24, 2013 #1 unaweza kunywa...?
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,551 May 24, 2013 #2 Bilali anaiangalia kwa kinyaa...
T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 6,445 Reaction score 8,418 May 24, 2013 #3 kabanga said: unaweza kunywa...? Click to expand... "Wanaswela" Chimpumu.==========Kuswela neno la kifipa Maana yake kunywa pombe kwa mrija; Chimpumu ni pombe ya kienyeji inayotengezwa kwa kutumia ulezi
kabanga said: unaweza kunywa...? Click to expand... "Wanaswela" Chimpumu.==========Kuswela neno la kifipa Maana yake kunywa pombe kwa mrija; Chimpumu ni pombe ya kienyeji inayotengezwa kwa kutumia ulezi
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 May 24, 2013 #4 Siwezagiii
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 May 24, 2013 Thread starter #5 Q Man said: "Wanaswela" Chimpumu.==========Kuswela neno la kifipa Maana yake kunywa pombe kwa mrija; Chimpumu ni pombe ya kienyeji inayotengezwa kwa kutumia ulezi Click to expand... sikuwa na jua hii inaitwaje...
Q Man said: "Wanaswela" Chimpumu.==========Kuswela neno la kifipa Maana yake kunywa pombe kwa mrija; Chimpumu ni pombe ya kienyeji inayotengezwa kwa kutumia ulezi Click to expand... sikuwa na jua hii inaitwaje...
galindas JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 978 Reaction score 1,306 May 25, 2013 #6 Mtoto wa mkulima imembidi aonje ili wananchi waone yuko nao. Siasa kaaaz kwelikweli
wete Member Joined Nov 16, 2012 Posts 94 Reaction score 63 May 25, 2013 #7 Nauona na mrija wa Bilali cjui amesha kunywa ndo sbb anakunja sura..?:embarassed2: