Huyo jamaa hapo nyuma ya mkuu wa kaya mwenye kaunda suti ya kahawia/brown ni nani? Maana mdau huyo kila trip ya mkuu wa kaya namuona yupo mitaa hiyo hachezi mbali au ndo wale wale UWT??
Wanapendeza na magwanda yao. Wananikumbusha zamaani, kulikuwa kuna matarishi na watu wa posta walikuwa wanavaa namna ile. Uliza waliokuwepo 60's watawakumbuka.
Hao walioonekana kwa sura zao vizuri wote ni wasimamizi wa usalama, mpambe nyuma na azi la kijeshi na suti ya brown ni... wao wa na kijana aliye na suti nyeusi ya kung'aa nadhani niemmsomeka