Kitu hicho ....Picha ya harusi!

Kitu hicho ....Picha ya harusi!

omujubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
4,444
Reaction score
2,700
Hebu angalia hii picha ilivyochukua mazingira halisi ya wahusika kisha linganisha na za kwetu zinazowekeza mamilioni ya pesa ili kupata 'artificial scenes' alafu tupia neno.
Wedding Photo.jpg
 
Sasa wakianguka uko au akitokea nyoka iyo honeymon si watailia hospitali?
 
Duniani kuna vituko, wamependaza ila siyapendi mataji na kupanda juu ya mti ndio.
 
Hao wakio kwenye mti ni watusi nini. Mbona warefu sana?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom