Kitu garden

Kitu garden

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
531945_524165930958447_1426254261_n.jpg
 
Sehemu nzuri na upweke wangu huu....lol!
 
aisee..pazuri kwa kupangia mipango...
 
mBONA PICHA YA KWANZA KUNA MEZA MOJA NA VITI VINNE? HEBU WAAMBIE WAONGEZE KIDOGO WENGINE TUNA EXTENDED FAMILY
 
Sehemu nzuri na upweke wangu huu....lol!


Kama ni mpweke hiyo sehemu haikufai, maana utaishia kumwaga michozi weeeeee hadi uumwe kichwa. Dawa ya upweke ni kujichanganya sehemu yenye watu au vitu mbalimbali vya kukuburudisha
 
Kama ni mpweke hiyo sehemu haikufai, maana utaishia kumwaga michozi weeeeee hadi uumwe kichwa. Dawa ya upweke ni kujichanganya sehemu yenye watu au vitu mbalimbali vya kukuburudisha
Kweli mkuu hapo na upweke lazima chozi lihusike
 
Back
Top Bottom