Nitajutaje kama ni mwisho wa dunia? ningekuwa nimekufa na niko kwingine kabisa. Roho ikiacha mwili hakuna cha kujutia hapo! Labda wakati nashuhudia lile tetemeko kubwa na kali likitokea kuimaliza dunia siku hiyo kitu ambacho ningejutia ni baadhi ya WATANZANIA kuwapa kura zao watu wasiofaa kuliongoza Taifa letu, kuanzia ngazi za udiwani, ubunge na Uraisi.
Hilo kwa kweli ningelijutia saaana, maana tunaelimisha mno mijitu lakini wapiii bwana dah!:shut-mouth: