Kitu gani ungekijutia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitu gani ungekijutia?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Ibrahimovic, May 22, 2011.

 1. Ibrahimovic

  Ibrahimovic Member

  #1
  May 22, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  So, dunia haijaisha! (Ofcourse 21th may 2011 haukuwa mwisho wa dunia). Tafadhali tumia nafasi hii kutuambia ni vitu gani au ni kitu gani ulichowahi kufanya ambacho ungekijutia kama kweli tarehe 21 ingekuwa mwisho wa dunia. Hebu fanya hivyo leo kwasababu hatujui ni muda gani tumebakiza hapa duniani..
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  kusoma thread yako
   
 3. Capitano

  Capitano JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  Kwenda Loliondo
   
 4. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kumjengea Mwanamke nyumba wakati mimi sina ata kiwanja
   
 5. joellincoln

  joellincoln Senior Member

  #5
  May 23, 2011
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nitajutaje kama ni mwisho wa dunia? ningekuwa nimekufa na niko kwingine kabisa. Roho ikiacha mwili hakuna cha kujutia hapo! Labda wakati nashuhudia lile tetemeko kubwa na kali likitokea kuimaliza dunia siku hiyo kitu ambacho ningejutia ni baadhi ya WATANZANIA kuwapa kura zao watu wasiofaa kuliongoza Taifa letu, kuanzia ngazi za udiwani, ubunge na Uraisi.

  Hilo kwa kweli ningelijutia saaana, maana tunaelimisha mno mijitu lakini wapiii bwana dah!:shut-mouth:
   
 6. Ibrahimovic

  Ibrahimovic Member

  #6
  May 23, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahaaa! Mmh, hilo nalo neno!
   
Loading...