Indume Yene Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 2,968 Reaction score 728 Jul 22, 2013 #1 Jaribu kuangalia hii picha kwa makini, utagundua kuwa kuna kitu kinakosekana hapo....Je ni nini ambacho umeweza kutambua?
Jaribu kuangalia hii picha kwa makini, utagundua kuwa kuna kitu kinakosekana hapo....Je ni nini ambacho umeweza kutambua?
A agosti 8 JF-Expert Member Joined Jan 31, 2013 Posts 3,575 Reaction score 2,582 Jul 22, 2013 #2 Sijaona 'key board' sijui unasemaje!
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Jul 22, 2013 #3 Keyboard
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 9,009 Reaction score 33,552 Jul 22, 2013 #4 Kiibodi ila inawezekana iko kwenye vile vishelfu vinakuwaga mapajani
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 9,009 Reaction score 33,552 Jul 22, 2013 #5 Vingi tu hamna ua la mezani, huyo mgeni mbona yeye hajaweka simu mezani? Chaja ya simu ya bwana Vodacom, pazia kwenye dirisha, na pia Hao jamaa hawajavaa miwani
Vingi tu hamna ua la mezani, huyo mgeni mbona yeye hajaweka simu mezani? Chaja ya simu ya bwana Vodacom, pazia kwenye dirisha, na pia Hao jamaa hawajavaa miwani
S SURUMA JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,892 Reaction score 1,068 Jul 22, 2013 #6 Nadhani MANGUSH kaweka monitor kuzugia tuu:smile-big:Keyboard haipo na mazingira ya hapo juu ya meza; keyboard haijakuwepo kwa muda .....
Nadhani MANGUSH kaweka monitor kuzugia tuu:smile-big:Keyboard haipo na mazingira ya hapo juu ya meza; keyboard haijakuwepo kwa muda .....
Shomari JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 1,112 Reaction score 242 Jul 22, 2013 #7 Ya kuzugia tu hiyo. siku hizi hata mafundi viatu wanatengeneza kwa kompyuta.
C CarlesSerra Senior Member Joined Aug 21, 2012 Posts 105 Reaction score 38 Jul 22, 2013 #8 Mbona naona kama jamaa wamekalia ndoo vile
LexAid JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,931 Reaction score 774 Jul 22, 2013 #9 Indume Yene said: Jaribu kuangalia hii picha kwa makini, utagundua kuwa kuna kitu kinakosekana hapo....Je ni nini ambacho umeweza kutambua? Click to expand... Mkuu, imanifurahisha hiyo t-shirt yake imeandikwa "......sober house" wakati yeye anaonekana teja na dealer vile vile.
Indume Yene said: Jaribu kuangalia hii picha kwa makini, utagundua kuwa kuna kitu kinakosekana hapo....Je ni nini ambacho umeweza kutambua? Click to expand... Mkuu, imanifurahisha hiyo t-shirt yake imeandikwa "......sober house" wakati yeye anaonekana teja na dealer vile vile.
Muota Ndoto Member Joined Dec 4, 2007 Posts 89 Reaction score 128 Jul 22, 2013 #10 agosti 8 said: Sijaona 'key board' sijui unasemaje! Click to expand... Inawezekana hiyo monitor ni touch screen hivyo keyboard au mouse sio lazima.
agosti 8 said: Sijaona 'key board' sijui unasemaje! Click to expand... Inawezekana hiyo monitor ni touch screen hivyo keyboard au mouse sio lazima.