Kitu gani kilikusikitisha zaidi 2016?

Kitu gani kilikusikitisha zaidi 2016?

Kama kichwa kinavyosemeka hapo juu ni kitu gan kilikusikitisha zaid mwaka huu hasa kwenye siasa
Nikusikia upinzani Bongo kuamini kushinda Uchaguzi 2020 wakati hali yao ya kisiasa ni mbaya sana sasa inayoashiria mpaka mwaka huo watakuwa zoofu-ilhari!!!!
 
Kutekwa Kwa [HASHTAG]#besaanane[/HASHTAG] pamoja na [HASHTAG]#lema[/HASHTAG] kuswekwa jela Bila sababu
 
Kwenye siasa hakuna kinachoweza kunistua kwa kuwa anything is posible.Ila kwenye dini kilichonistua sana ni kuongezeka kwa uovu wa wanaojiita viongozi wa dini.Kwa mfano Anthony Lusekelo kukutwa amelewa chakari,Malasusa kubariki matumizi ya pombe na Mwingira kupora mke wa mtu.
Kama kichwa kinavyosemeka hapo juu ni kitu gani kilikusikitisha zaidi mwaka huu hasa kwenye siasa.
 
Kwenye siasa hakuna kinachoitwa kunistua,anything is posible.Ila kwenye dini kilichonistua sana ni kuongezeka kwa uovu wa anayejiita viongozi wa dini.Kwa mfano Anthony Lusekelo kukutia amelewa chakari,Malasusa kubariki matumizi ya pombe na Mwingira kupora me wa mtu.
njia ya mbinguni nyembamba
 
kusitisha ajira za ualim na kusitisha ajira za wale vjana 3000, na kukosa mkopo kwa watoto wa mackn
 
1482745456277.jpg
]
 
Kuzuiwa kuuza chakula nje ya mkoa wangu , na kutokea njaa marudufu .
 
Back
Top Bottom