otimbiotimbi
Senior Member
- Dec 12, 2019
- 136
- 236
Sema tu ukweli wako usiogope, Eti ni kitu gani ambacho watu wanahisi unacho halafu kumbe huna....?[emoji41][emoji41]
Mimi ni mbinafsi kumbe siko hivyo ...nafanya chochote kwajili ya wenzanguSema tu ukweli wako usiogope, Eti ni kitu gani ambacho watu wanahisi unacho halafu kumbe huna....?[emoji41][emoji41]