Kitu gani ambacho ukikaa kukumbuka kina kusisimua?

holy holm

JF-Expert Member
May 6, 2017
4,792
9,080
Nikikumbuka nilivyo saidia kubeba mahari bila kujua kuwa zilikua zinaenda kwao na mpenz wang..kumbe alikua ana poswa siku hyo.mwili hua una sisismuka kwa hasira ila ndo basi tena yalishapita.

We pia unaeza weka tukio lako ambalo lilikusisimua ukikmbka
i love chit chat much much..
 
nikikumbuka ACT wazalendo walipo mchagua ANNA awe m/ kiti ACT alafu akateuliwa mkuu wa mkoa na kukamata madaraka ya ccm

akasema "mimi sio mpinzani wa maendeleo"


ACT hii kauli inawasisimua.
 
nikikumbuka ACT wazalendo walipo mchagua ANNA awe m/ kiti ACT alafu akateuliwa mkuu wa mkoa na kukamata madaraka ya ccm

akasema "mimi sio mpinzani wa maendeleo"


ACT hii kauli inawasisimua.
bado kabwe
 
Mi nikiona tako la mdafada linakatiza tu sehemu basi mi nimsisimko zaid ya coca yaani.
 
Mwaka 1994, wakati tunaenda Tanga na bus, tulifika sehemu moja hivi mbele kidogo baada ya kuvuka Chalinze dereva akasimamisha bus na kutaka tuchimbe dawa. Mimi nikaenda mbali kidogo na wenzangu kwani nilikuwa nina haja kubwa. Nikazama kwenye kichaka, ile kuinama tu na kutoa bonge la ushuzi.....alitoka bonge la nyoka sijuwi tokea wapi akapita katikati ya makalio yangu na dushe huku akikimbia. Kwa kweli Mungu yupo duniani, yaani nikikumbuka lile tukio na ukubwa wa yule nyoka huwa nasisimka wakati mwingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom