Kitu Damuni

Mtu yeyote mwenye kazi ya kufanya hawezi kufanya hivyo. Labda wamepiga pozi kwa ajili ya picha tu halafu wanaendelea na mengine.
Wewe huoni hapo ni usiku?,hiyo kazi wanafanya masaa 24?.Vitu vingine watu wanapenda kufanya tu ili kuridhisha nafsi zao,na wala siyo kwamba hawana kazi.
 
umemjibu vizur mkuu huyo kijana wa lumumba
 
Nimeona nisimjibu kwasababu hatanielewa, ila kwasababu wewe akili zako fupi umeona kajibu cha maana. Iwe usiku mchana jioni kama una kazi ya kufanya huwezi kujilaza hapo. Hao wanatafuta cheap popularity. Sio kila unaetofautiana nae mtazamo ni wa chama fulani.
 
Who are you to judge them?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…