Kitu cha Noah sokoni

harakat

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
2,887
Reaction score
1,361
Waungwana nauza Noah yangu imetembe Km 147500 ipo katika hali nzuri na hapa Tz ina mwaka miezi nane
Bei kuanzia Milioni Tisa na maelewano yanaruhusiwa.Inapatikana Arusha haijafanya biashara ilikua kwa matumizi ya nyumbani tu.mawasiliano :0767931887
 

Attachments

  • IMG10081.jpg
    12.5 KB · Views: 332
  • IMG10082.jpg
    10.5 KB · Views: 279
  • IMG10080.jpg
    11.3 KB · Views: 258
  • IMG10084.jpg
    9.4 KB · Views: 248
  • IMG10086.jpg
    7.4 KB · Views: 212
Mbona ya zama za kale!!!!
Hiyo ingetolewa msaada tu.
 
old model iyo haina ishu sasa ivi zimetoka new bhana la msingi fanya la kusanya abiria upate pesa uje nikuuzie kiwanja ninavyo vinne kimaja nauza kipo maeneo ya pugu maana ulikimbilia gari kabla ya kiwanja anunui mtu kwa bei hiyo ndio maana umeleta uko sio sehemu yake ulivyo changanyikiwa uku ni jukwaa la siasa bhana umebugi
 
Nhnnnn...hata kama umekosea njia imebidi ni cheke . Umeiona ile ajari ya noah huko Dodoma? Imemwgika mithiri ya yai...waliopona ni kwa neema! Noah....hizo utafikir bati gage34.
 
Aise!hawa chadema majanga sana,yani huyu dogo anawaza siasa tuuuuuuuuuuuuu!
 
Kweli hapa ni kama sokoni, kila mtu anakuja na stress zake dah
 

kweli ila angalia hicho kitu vizuri bado Fundi hajagusa hata mara moja hapo
 

Attachments

  • IMG10081.jpg
    13.1 KB · Views: 64
  • IMG10083.jpg
    12.4 KB · Views: 68
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…