Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,327
wanakula mboga kwa mbogaHiyo mboga tu chakula chenyewe wapi
Sana mkuu mpaka unalamba mkonoTamu hiyooooooo
Karibu mkuuHiyo mboga tu chakula chenyewe wapi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Karibu sana mkuu wanguDaaaa!!! hiyo kitu naikubali saana.
mkuu naona unafaidi vitu vizuri...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Joseverest: leo umechelewa wapi mkuuHatukaribishani hata??[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
Matap tap ya kuliwa na wanawake. Wanaume tunakula dona.
Matap tap ya kuliwa na wanawake. Wanaume tunakula dona.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usijali mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Joseverest: leo umechelewa wapi mkuu
mkuu mbona kama ubwabwa wa carrot ,ila hiyo salad miye udenda hadharani!
Nimebaki nashangaawanakula mboga kwa mboga