kitu beans kwa raha zetu

La kuonja halisumbuwi, ngoja wakamatie kitu wiki toa weka....fasta hizo nywele kipilipili. Chezea Mboga ya Taifa weeye!?
 
Kibongobongo ndondo lina utamu wake.Nakumbuka mama yangu alikuwa analipika kwa nazi,sasa lienda sana kwa ugali mchana au wali usiku,we acha tu.
Nimegundua kwa hawa wenzetu,vitu vingi havina ladha yake kama uswahilini kwetu,sio maharage tu,hata samaki wao ni tofauti sana na wale wa kutoka soko la pale feri,hawa ni mazoea tu lakini hovyo kabisa.
 

Ni kweli ndugu yangu...tunakula tu
 
Ndondo aka kitu cha jela kuna jamaa alikuwa akila anatutesa sana rum

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…