kitoweo

Yako ni hayo tu huna mengine ndio maana unawaonyesha watu barabara halafu unawauliza hiyo ni nini mbulula kabisa
kwani hiyo kitu uliyoshikilia mkononi haitumiki!!mwaga ubongo wa mtu hapo!
 
huyo chui ni mroho tu, ngozi ngumu hiyo atakula nini hapo??!!! au wanyama wengine wote walikwisha msituni?!!
 
jk aliwahi kutamka na hapa namnukuu, ''ukila lazima uliwe'':smile-big:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…