Kitovu cha Mtoto Na Imani Zake

Kitovu cha Mtoto Na Imani Zake

Mungu Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
1,474
Reaction score
1,088
Hakuna kipindi kigumu kwa mtoto mchanga anapozaliwa kama siku 7 za mwanzo. Wazazi wengi huwa makini kuchunga kitovu mchana, usiku kucha kuchunga kitovu; kitovu hiki kinahusishwa na imani nyingi ikiwemo; endapo kitadondoka kwenye Uume/uke wa mtoto basi mtoto Huyo atakuwa tasa au hanithi; je kuna ukweli katika imani ya roho chafu? Cc. Mshana Jr,
 
Kweli, nliona hilo jambo ila akili ilifikiria na sikupata jibu.
Wengine baada ya kukatika pia hakitupwi sasa sijui kinapelekwaga wapi!
 
Back
Top Bottom